GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,621
- 128,013
Jamani mchina ni level nyingune lile bus T226DJQ lina gps tracker na kuna camera za siri, haya ngoja wadogo waumbuke sasa. Naomba sirro awachukue maelezo wafanyakazi wa hilo bus ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya huyu dogo mshenzi.
Jamani mchina ni level nyingune lile bus T226DJQ lina gps tracker na kuna camera za siri, haya ngoja wadogo waumbuke sasa. Naomba sirro awachukue maelezo wafanyakazi wa hilo bus ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya huyu dogo mshenzi.
Umeandika habari nusu nusu unataka kusema Nonda alipanda bus hilo?akashuka mwenyewe?tatizo vyombo vyetu havitaki kuingilia masuala haya kwa kina sijui sababuJamani mchina ni level nyingune lile bus T226DJQ lina gps tracker na kuna camera za siri, haya ngoja wadogo waumbuke sasa. Naomba sirro awachukue maelezo wafanyakazi wa hilo bus ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya huyu dogo mshenzi.
Kwenye ukweli uongo hujitenga,,,,tusubiri kama huyo Sirro atafanya hivyo,na kama Sirro hakufatilia hilo Basi basi itakuwa mlimteka kweli...Jamani mchina ni level nyingune lile bus T226DJQ lina gps tracker na kuna camera za siri, haya ngoja wadogo waumbuke sasa. Naomba sirro awachukue maelezo wafanyakazi wa hilo bus ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya huyu dogo mshenzi.
Kwa hiyo usalama wa raia unahusishwa vipi na siasa???chama gani kinapaswa kulinda raia wa nchi?naomba wawekw wazi jambo hilo
Utanitag mkuuWaliokuelewa ulichokiandika hapa watanisaidia kunielewesha.
Huwa yanatokea,mimi nimeshasafiri na jamaa akiwa yumo jukwaani JF akijisomea.What a coincidence uwe wewe, mwenye access na JF, ukae nae siti moja, utake urafiki na mtu usiyemjua, ugundue ana hofu etc.
Nilisema tusubiri 2020 kama kuna haja ya kumuwajibisha Magufuli.
Dogo anatafuta kiki , ajue mbele bado yanahitajika maisha na yeye ndio bado kabisa kwa comedy za Ufipa.We una mahaba sana na issues....
Bora ungesubiri full statement ya dogo ndo uje na huu upupu hapa.... otherwise na wewe unaonekana ni wale wale tu.
Nilisema tusubiri 2020 kama kuna haja ya kumuwajibisha Magufuli.
Ni dhahiri comedy muendelezo wa comedy za UfipaNaanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.
Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.
Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.
Msidanganyike kirahisi. Stukeni.