GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,556
Wiki iliyopita Makomandoo wa Israel ( Sayeret Matkal ) waitumia Akili Kubwa kama ile waliyoitumia kule nchini Uganda walipoenda kuokoa Mateka Wao mbele ya Idi Amini ambayo hata hivyo ilisababisha Kifo cha Komandoo mahiri aitwae Yurin ( Yuri ) Netanyahu ambaye alikuwa ni Kaka mkubwa wa Waziri Mkuu wa sasa wa Israel na Role Model wangu Tukuka aitwae Benjamin BIBI Netanyahu.
Pamoja na Wapalestina waliokuwa Wakisaidiwa na Wahuni akina HAMAS kuweka Ulinzi wa Kutosha katika moja ya Hospitali yao iliyokuwa Ikitibu Wagonjwa ( Majeruhi ) wengi ambao Wengine walikuwa ni Wanamgambo wa Wahuni HAMAS bado Waisraeli waliwaonyesha kuwa hapa duniani hakuna Wanadamu wenye Akili Kubwa na wanaojua kuzitumia vyema kama Wao.
Baada ya Makomandoo wa Israel kugundua hilo huku wakiwa na Taarifa za kutosha kuwa Magaidi Wahuni wa HAMAS wako pale Hospitalini wakipatiwa Matibabu waliamua kutua Akili Kubwa hii ifuatayo yenye Ubunifu wa Kipekee na inayofaa katika Oparesheni zozote zile dhidi ya Maadui Wapumbavu kama HAMAS na Wapalestina wanaowapa Jeuri, Kiburi na hata Hifadhi pia.
Makomandoo wa Israel waliamua Kutafuta Askari wa Kike wa Kiyahudi kisha wakavalisha Nguo waonekane kama ni Wajawazito nz wanahitaji Huduma ya haraka huku Wengine wakijifanya wamebeba Watoto na Wamejeruhiwa Vitani na baadhi yao ( wakijifanya ni Wazee. ) wakiwa katika Wheelchairs zao na wanawahishwa kuingia ndani mule Hospitalini.
Na kuonyesha kuwa Waisraeli kwa Akili Kubwa ( hasa Makomandoo wao hawa ) walihakikisha kuwa hawa Watu wote ( wa Kimkakati ) waliowaandaa wanajua Kuzungumza lugha ya Kipalestina ili Waaminkke upesi na Walinzi wa Kipalestina waliokuwepo pale Getini kwa Hospitalini nz ndani huku ndani ya Nguo zao wakiwa wameficha Silaha zao kwa ajili ya Oparesheni hiyo iliyofana / iliyofanikiwa 100%
Hili lilipofanyika Makomandoo hawa wa Kiisraeli walihakikisha pia kuwa hata Watu waliokuwa Wakiwatumia / Wakitumikia kuwasindikiza Hospitalini wale Wagonjwa ( Majeruhi ) Feki nao walikuwa ni Special Force ( Makomandoo ) hivyo walipofanikiwa tu Kuingia mule Hospitalini walianzisha Mtiti ( Mapigano ) hali iliyopelekea hadi Kuua Maadui Walengwa Wao na Kuondoka kwa haraka huku wakiwa wamevalia Kininja na Kuficha Uso / Nyuso zao.
Akili Kubwa hii ya Makomandoo wa Israeli ( Sayeret Matkal ) imenifanya GENTAMYCINE nami Nikihoji tu kimya kimya kuwa je, Makomandoo wa ZUZU NATION nao wanaweza kutumia Akili Kubwa kama hii iliyotumika na Wenzao wa Israeli?
au labda uwezo wa Kufikiri hawana kabisa zaidi ya Kujitutumua tu Viwanjani katika Maonyesho yao na kutishia kufanya Usafi siku ambayo akina GENTAMYCINE nao wameamua kufanya Maandamano ya Kupambana na Maadui wakubwa Wanne 1. Ujinga, 2. Maradhi, 3. Umasikini na 4. Upumbavu uliotukuka..
Daima huwa sipendi Vibovu Vibovu.