The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,204
Wanasema baiskeli vijijini ndo zilikuwa zinakata utepe wa mabinti je lina ukweli hili?
Matajiri wa vijijini wengi walimiliki zaidi ya tano kwa wakati mmoja.. Tatu zikiwa za matumizi binafsiWanasema baiskeli vijijini ndo zilikuwa zinakata utepe wa mabinti je lina ukweli hili?