sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Last edited by a moderator:
miss neddy njoo huku!!
mwallu nipe muda! nahisi kuchanganyikiwa kwa furaha hapa nilipo!
hahahahteh teh teh hao ndo #teamrafiki akina Mr Rocky Mndengereko sungura1980 mwallu Heaven on Earth utafiti ndo zao hao najua pacha wangu Excel ana ndoa rasmi so issue kama hizo hazimasumbui
wapi Mndengereko na mtu muhimu J.lee come pande hizi uokoe jahazi Excel hakumbuki V day alikuwa na nani
hawa ndo mabazazi?ha ha ha ha finally mmejiumbua #teamrafiki
Hii inamhusu zaidi utafiti na Tized na Mndengereko maana walisherehekea sana valentine na kuna kamtu kanaitwa Excel bila kumsahau Mentor
dah so bad leo nilikuwa nimetoka nimeenda porini huko ndani ndani hakuna hata netiweki mpk mada ishapoa ila waache waseme tu hao #teambazazi dawa yao ipo jikoni introduction ya #teamrafiki ilikuwa trailer tu sasa wasubiri picha kamili tunakuja kuumaliza kabisa ubazazi humu jamvini
cc : Ntuzu utafiti Mr Rocky kabanga miss chagga Mokoyo Mentor Tized mwallu miss neddy Excel mwekundu na #teamrafiki woooote.

Pole kwa majukumu mkuu ila mchana tulikuepo na kina mwallu na huyu Excel inabidi tuunde tume maana asije kumshawishi miss neddy akatuharibia
Umeona mikakati yetu hapo juu kwa Mndengereko?
ndo maana nasema dawa yenu ipo jikoni...dont panic... you talk too much!
tutampokonya mke hadeserve kupata mke mwema kiasi hiko wakati yeye mwenyewe tabia zake mbofu mbofuPole kwa majukumu mkuu ila mchana tulikuepo na kina mwallu na huyu Excel inabidi tuunde tume maana asije kumshawishi miss neddy akatuharibia
ndo maana nasema dawa yenu ipo jikoni...
teh teh teh hao ndo #teamrafiki akina Mr Rocky Mndengereko sungura1980 mwallu Heaven on Earth utafiti ndo zao hao najua pacha wangu Excel ana ndoa rasmi so issue kama hizo hazimasumbui
tutampokonya mke hadeserve kupata mke mwema kiasi hiko.