Matokeo ya V yametoka sasa......

Matokeo ya V yametoka sasa......

sasa yajipasa huyu shemegio Excel ajitazame upya....asijeharibu kabisa mambo hapa!

ngoja hii dam niipashe ubaridi.. imekuwa moto mno!!

nita ICHANA muda si mrefu aisee!!

why love lakini?
 
Last edited by a moderator:
ukidate mwanaume anaejielewa wala hastuki. kuanza swala la kujiepusha na mimba zisizotaraji linakuwa jukumu lenu wote.
 
what? mwallu awe nini sasa mr sungura?

Avue kilemba cha usister!Chezea Excel wewe,,utashangaa hapa tunaanza kuambiwa,"Unajua wito wa ndoa nao ni wito kama utawa,tena toka mwanzo Mungu aliumba watu wawili,tukizubaa kidogo tunaambiwa hao wawili walikuwa ni Excel na mwallu!!

Samahani dadangu mwallu,natania tu,najua ulivyojizatiti kwa maombi!
 
Last edited by a moderator:
nimekusamehe..ombi langu kwa muumba Excell aache ubazazi..for the sake of mdogo wangu

naona waonge kwa jina langu eenh!! mwallu unajua maana ya indirect speech?

''baba kasema unipe pipi nimpelekee mtoto ampe mama aliyelala hospitalini kwa .. '' shtuka!
 
Last edited by a moderator:
nimekusamehe..ombi langu kwa muumba Excell aache ubazazi..for the sake of mdogo wangu

mwallu mbona nikikwambia nimeacha huamini? huon unanilazimisha niwe bazazi?

read my mind mwallu! read the signs!! iam out of words... unaponiona nakosea, nionye kando, sio mbele za watu!!!

mwanamke aliumbwa kumtetea mwanaume no matter what!! sio kumsengenya!! sawa mwallu?

uwe unanitumia hata PM za kunionya! lol!
 
Dadangu mwallu husikubali PM,kuonyana hapa hapa wote tusikie!
 
Last edited by a moderator:
mbona Excel wewe matawi tu japo sijui kwanini unaonakana hivyo wanavyokuona.....?

OK guys, all is well.. life must go on..! mwallu.. got to read that.. life must go on!!

niko namsikiliza don moen na don williams.. i hope you them! missing you, i will never be free.. nice song for sure!
 
Last edited by a moderator:
sungura1980, mimi na mwallu ni marafiki wapendanao!

usione tunagombana eenh! kumbuka wagombanao wakipatana.. kaa mbali kabisa qudadeki!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom