Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
asante angalia naliweka kwenye signature yangu
sasa hivi hebu cheki
sasa hivi hebu cheki
Haya Lady niece,,neno linatoka Mathayo 18:6
Haya Lady niece,,neno linatoka Mathayo 18:6
OK guys, all is well.. life must go on..! mwallu.. got to read that.. life must go on!!
niko namsikiliza don moen na don williams.. i hope you them! missing you, i will never be free.. nice song for sure!
Kwa taarifa yako
Excel hizo nyimbo dadangu
mwallu hata hazimbariki!Sana sana ungesema
unasikiliza,"Kando ya mito ya Babeli ndipo tulipoketi,wa kwaya ya Moyo
safi wa Bikra Maria ,Unga Limited Arusha hapo kidogo unaweza
kueleweka!Au unasikiliza wimbo wa "Uchungu kama Upanga,ukachoma moyo wa
mama Maria" ukizingatia kwaresima hii
aisee mfungo mwema Excel...kwaresma hii nyimbo za injili ndio muda wake
aisee..umenikumbusha mbali jamanu..sunday school tuliimba huo wimbo kwenye sherehe ya watoto...asante sana
mwallu unaujua ule wimbo wa we should be together wa Don Williams?
its a nice song my friend.. we should be one side to side.. we should be together!
if i can help you... huu wimbo mzuri sana!! unafariji sana ukiusikiliza!
​baba mwita!!
​baba mwita!!
​umekua king mswati eeee!!!ewahh! good word! lazima ntakusanya wanangu wote 1 day!
Jamani
mwallu sherehe ya watoto wimbo huo?Si mgeimba
ule wa "Watoto wa majumbani njooni tuungane,tuwalilie wazazi chozi la
damu,tupaze sauti zetu za majonzi na kwikwi,wachache wenye huruma
watatusiki.Haki ya malezi bora tumenyang'anywa,ohoo dunia
dunia........."Mara ya kwanza kuusikia mbona machozi yalinitoka!
mwallu unaujua ule wimbo wa we should be together wa Don Williams?
its a nice song my friend.. we should be one side to side.. we should be together!
if i can help you... huu wimbo mzuri sana!! unafariji sana ukiusikiliza!
sister.. kwanini una mashaka na mimi? naomba angalau 45 live talk minutes with you.. tuondoe hii kasoro!!
nadhani itakuwa vyema sana...
sister.. kwanini una mashaka na mimi? naomba angalau 45 live talk minutes with you.. tuondoe hii kasoro!!
nadhani itakuwa vyema sana...