Matokeo ya V yametoka sasa......

Matokeo ya V yametoka sasa......

ebana hiyo kali! sasa kama hajaziona? kwani niko mwenyewe mjini hapa? lol!

amuulize Ntuzu ama DZUDZUKU wanaweza kuwa na majibu!!

Hapo inabidi atafutwe nyoka kwanza maana yeye ndie alie anza kula tunda kabla ya Adam.
 
Last edited by a moderator:
Hapo huwenda amesha piga simu kwa watu kama 7 hv wewe wa 9, utakubali kweli?

"Halafu ile siku ya V mbona haikuwa siku hatari?" Football ulikuwepo, akajipange upya.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom