Matokeo ya V yametoka sasa......

Matokeo ya V yametoka sasa......

ahahaaaa yani moyo anausingizia tu ata hauhusiki hapo

sasa kasingizia kwamba mayai ya uzazi yanakaa tumboni!

sasa sijui dushe huwa linasafiri mpaka huko kutafuta mates wake!! lol!
 
hapo hapo kwenye period....!

umekuwa ukilalamika sana ndani ya huu mwezi kwamba mlango wa siku zako umefungwa!

si habari njema hizo?
hapana bwana mlango wangu upo wazi kutoa ilakuingiza ndo hautaki
 
hapana bwana mlango wangu upo wazi kutoa ilakuingiza ndo hautaki

hahahaaaa!!!!! nimefurahika kwa kweli! happy mamaz day miss chagga!! king excel loves you sooo much!!!!

jibu huku ukiwa umeinamisha kichwa!! ishara ya kumheshimu mfalme! jibu liwe positivEE!!
 
Last edited by a moderator:
keshajichanganya huyu! mtoto anakua sasa yeye anaita mayai!

mwishowe atasema anaenda kutaga baada ya miezi 9 kudadeki!

nangoja mwanangu!!

naona unaniombea nipate mimba ... mimi sijaopata wakumuingiza mtoto tumboni mwangu
 
wow!!! ok give a kiss to the king!! hurry before he leave!


Glitter+Graphics.gif
 
ewaaah!!! naona siku ya wanawake duniani inaniendea vyema kabisa!!

naruhusiwa kuomba nyongeza?? hebu fanya hivyo bana!!

kwa leo inatosha hili tusiongeze bwana... miss maua n sawa tu ila ndahani ni username ya mtu huku
 
kwa leo inatosha hili tusiongeze bwana... miss maua n sawa tu ila ndahani ni username ya mtu huku

kuna mrembo humu anaitwa miss maua? mbona mfalme hajawahi kumfanyia registration?

ngoja nione kama ataruka hapa..

hayupo bana.. wewe ndiwe miss maua unique kabisa!
 
Back
Top Bottom