hongera mwenzio nashona viatu hapa mnazi mmoja....!
unataka kuninyima nini mtoto wa mwanamke mwezio....?
Huna ubavu wa kutoka na mimi wewe! unajua viatu vya paw ni vikubwa sana yaani huwezi kuvaa:A S 27:
mbona mdomo ueshajaa nikiuota huo utamu....?
sasa tuongee basi......
acha tu, na hizi boda boda zimejaa mjini zimetuharibia sisi mafundi baiskeli na hii mvua watu hawaji kushona viatu vyao....
kuongelea utamu tu....