Matokeo ya V yametoka sasa......

Matokeo ya V yametoka sasa......

ahahahaha
haya Excel..imetosha..ila,uache u bazazi...good evening, all the best

nilikuuliza swali lakini!! hivi nikikutumia PM ya aina yoyote tu! hata kama ni ki lover lover, itajibiwa??

nijibu tu kivyovyote!
 
hii ni mission nyingine au?
bahati mbaya huwa sisomi pm

ayaaaaa!!! hili jibu ni langu tu ama kuna wengine wanapewa hii huduma halafu mi nanyimwa??

ngoja nikusanye dollars and pounds tu.... siwezi pendwa mkavu aisee!!
 
nilikuuliza swali lakini!! hivi nikikutumia PM ya aina yoyote tu! hata kama ni ki lover lover, itajibiwa??

nijibu tu kivyovyote!
Excel nakuona unavyomtega sister wa watu ( mwallu),na kipindi hiki cha mfungo wa kwaresima!Nitakusemea,wewe endelea!"Ole wake yule anayemkosesha mmojawapo wa hawa,maana ni heri afungiwe jiwe la kusagia na kutupwa baharini"
 
Last edited by a moderator:
hilo andiko linatoka wapi kwani nalipendaga sana

Excel nakuona unavyomtega sister wa watu ( mwalllu),na kipindi hiki cha mfungo wa kwaresima!Nitakusemea,wewe endelea!"Ole wake yule anayemkosesha mmojawapo wa hawa,maana ni heri afungiwe jiwe la kusagia na kutupwa baharini"
 
Excel nakuona unavyomtega sister wa watu ( mwallu),na kipindi hiki cha mfungo wa kwaresima!Nitakusemea,wewe endelea!"Ole wake yule anayemkosesha mmojawapo wa hawa,maana ni heri afungiwe jiwe la kusagia na kutupwa baharini"

hahahaaaa!!! sungura, ujue uko na sis wangu aisee!!

ukimzingua tu nakuja bila kuuliza!! mtunze sana Bantu lady kama nilivyokuasa!!

actually, mwallu ni hasimu wangu kimtindo... anapenda nifanye kitu fulani.. ila.. dah! ngoja!
 
Last edited by a moderator:
uache ubazazi..for the sake of mdogo wangu

Back
Top Bottom