mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,215
nobody
i think i ... oh my!!
who cares?
i think i ... oh my!!
who cares?
teh teh
matendo....tazama mateendoo,utamtambua bazazi
mwallu unakumbuka enzi zile?
tunaangalia matendo yenu na sio lini mlikuwepo?
nobody
mwallu qulaleki!! unakumbuka wewe ndie nilianza mishe mishe enzi zile bado sijawajua wengine?
jisahaulishe sasa nilete ushahidi!!
Kama mtu alikua bazazi thn akaona njia sahihi ni kujiunga na wenzie #TEAMRAFIKI , hutakiwi kumlaumu kwa aliyoyafanya miaka ya zamani
badili basi kiavatar mamii! khaaa!! kila siku vinywele hivyo hivyo tuuuuuuuuuuu???
huendagi saluni ww?
tatizo nini sasa? mbona mwaitana tena? .. qulaleki!
hhaya mi naenda...!
Mentor kamata this bazazi...sezae Ntuzu njoo uone...eti hii ni ya lini?..lol Excel tafuuta njia nyingine...hii imefeli.....#teamRafiki juu
nashangaa mabazazi sana ndo wanatangaza kuhama
Bila kukusahau wewe mwenyekiti wa PENDAPENDA Club.:glasses-nerdy::bange::target::A S kiss::A S 465:
hivi neno nun nililijulia wapi vile??
aisee nimeanza mishe mishe zamani! hahahaaaa!!!! hadi parokiani!!
qudadeki!
Mkuu Arushaone nishajiondoa kwenye hiyo club nimewaachia akina Excel na Erickb52 na Vin Diesel na Rogie na mayendga na Kipaji Halisi na Mtambuzi