Ajenda za
#teamrafiki
zinaanza kuvuja kidogo kidogo, mwishowe mtasema kilakitu.
Dada zangu Heaven on Earth,
charminglady, Lady
niece, Honey Faith,
mwallu kuweni makini............
thumb up!! iam a trueman!! qudadeki!
hivi siku ile ya valentine nilitoka na nani vile?? nshasahau!!
naomba nameless girl, neggirl, tinna cute, miss chagga. Husninyo, King'asti, Passion Lady, ICHANA, Price, Preta na warembo wote wanisaidie aisee!
yawezekana mmoja wenu anahusika!! sielewiii!
ahsante sana mamii!! nipe report za wanangu huko!!
ni mapacha ama single baby?
mwenzio akuu siku ya valentine nilikuwa nimelalia mto mpwekeeeee kabisa
siamini...! sema ukweli ! kama unaogopa njoo kando unieleze qudadeki!!
nakwambia ukweli kutoka moyoni mwangu
sema ukweli kutoka tumboni kwako!!
kwani moyo ndio unabeba mimba?
sema ukweli kutoka tumboni kwako!!
kwani moyo ndio unabeba mimba?
ahahahaaaaah! meona eh!
kutoka tumboni sina mimba nina mayai tu
aah wapi nina mayai kwenye tumboumeona unavyojichanganya??
lini mayai yakakaa tumboni ?
hicho si kijusi kabisa?
ee! mtu anaweza sema moyo moyo huku tumbo linaungurumisha litoto la kiume! lol!
mimi siko hapo kabisaaa
Hahaha...marafiki wapendanao