miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kuna mrembo humu anaitwa miss maua? mbona mfalme hajawahi kumfanyia registration?
ngoja nione kama ataruka hapa..
nahisi kuna wakati nilimwona
kuna mrembo humu anaitwa miss maua? mbona mfalme hajawahi kumfanyia registration?
ngoja nione kama ataruka hapa..
nahisi kuna wakati nilimwona
nimeita kwa sauti kuu!! hakuna aliyejibu! labda ajiingize hapo baadae!
wewe ndiwe, miss maua! ikumbuke siku hii!
asante mfalme wa duniani
leo nataka nikapandiweleo watokea wapi mamii?
yani unaua ndege wawili kwa jiwe moko!
super weekend vs super mamaz deiya!
Kaizer!!! do you know how to read and write well?
miss maua, nakuja in no time..
ngoja ninunue mipira... ya basketball!! hahhaaaa!!
nunua mingi uwanja unamisumari ukitoboa tunaweka mwingine
tunaanzia mchana mpaka asubuhiumeona eenh!! mi sinunui mipira uchwara!!
nachukua ile ya NBA kabisa fulu tbs!!
so mechi si huwa ni jioni eenh? au huu utamaduni wa zamani?
tunaanzia mchana mpaka asubuhi
nitahimili vyote nakwambia tena kwa bidii zoteutaweza wewe?? sihitaji kusikia vilio vya yereuwiiiiii!!!
unajua mchezo... mchezo wa basketball unahitaji nguvu nyingi!! lol!
utahema kwa kukimbizwa huku na kule kwa vikumbo!
bye mimi natoka tutaonana keshoooooutaweza wewe?? sihitaji kusikia vilio vya yereuwiiiiii!!!
unajua mchezo... mchezo wa basketball unahitaji nguvu nyingi!! lol!
utahema kwa kukimbizwa huku na kule kwa vikumbo!
nitahimili vyote nakwambia tena kwa bidii zote
ajenda za #teamrafiki zinaanza kuvuja kidogo kidogo, mwishowe mtasema kilakitu.
Dada zangu heaven on earth, charminglady, lady niece, honey faith, mwallu kuweni makini............
Ajenda za #teamrafiki zinaanza kuvuja kidogo kidogo, mwishowe mtasema kilakitu.
Dada zangu Heaven on Earth, charminglady, Lady niece, Honey Faith, mwallu kuweni makini............
kwanini kuna nini kilichotokea wakati viongozi tuko
na team haiwezi kufa kabisa wala kuna mkono wa mtu hapa
im glad hujamtaja chaguo langu la moyo.
asante excel jamani..........