Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

MATOKEO YA KATA YA MLANGALI, WILAYA YA LUDEWA

CHADEMA - 1418
CCM - 1247
CUF - 11
DP - 4

Daraja Mbili Arusha:

Chumba cha kwanza, Chadema 74, CCM 21.

Bado uhesabuji unaendelea! Kulikuwa na vurugu za hapa na pale, CCM walitaka kuingiza maboxs yenye kura bandia! Wananchi wamekuwa wakali km pilipili.

Source: Sunrise radio.[/QUOTE]
 
Hongera ccm. Chadema bado sana. Nyie rukeni rukeni tu, ccm ndo chama dume.

Calculate the following 0+3=??? and 16-3=??? simple answer +3 and-3 who is advancing? obvious the one with +3, unajuaa vizuri hesabu hii maana wewe ni calculator na si dhani kama ya mchina.
 
Calculate the following 0+3=??? and 16-3=??? simple answer +3 and-3 who is advancing? obvious the one with +3, unajuaa vizuri hesabu hii maana wewe ni calculator na si dhani kama ya mchina.

Hakuna kitu hapo. ni kama kutibu malaria kwa colgate
 
MATOKEO YA KATA YA MLANGALI, WILAYA YA LUDEWA

CHADEMA - 1418
CCM - 1247
CUF - 11
DP - 4

Hata Ludewa hali iko hivi CCM ndio kwishinei maana huko ndio lilikuwa kimbilio lao

Daraja Mbili Arusha:

Chumba cha kwanza, Chadema 74, CCM 21.

Bado uhesabuji unaendelea! Kulikuwa na vurugu za hapa na pale, CCM walitaka kuingiza maboxs yenye kura bandia! Wananchi wamekuwa wakali km pilipili.

Source: Sunrise radio.
[/QUOTE]

sasa CCM ndio kwishinei maana huko ndio lilikuwa kimbilio lao
 
Calculate the following 0+3=??? and 16-3=??? simple answer +3 and-3 who is advancing? obvious the one with +3, unajuaa vizuri hesabu hii maana wewe ni calculator na si dhani kama ya mchina.
Achana na mpaka poda huyo, hajui kama watu wako serious kukomboa hii nchi..
 
Matokeo kata ya Bangata-Arumeru mashariki.
TLP=03.,CDM=881.,CCM=1177
Jumla ya kura zilizopigwa=2061
 
Naomba kujulishwa matokeo ya uchaguzi wa madiwani uliofanyika leo Jumapili Tar 28/10/2012
 
CHADEMA yashinda kwakishindo kata ya mtibwa kwa kupata kura 3,096, CCM 1,372 na CUF 67.

Kampeni hizo ziliongozwa na makamanda ALLY BANANGA NA MH CECILIA PARESO MBUNGE VITI MAALUM KUTOKA ARUSHA! CHINI YA USIMAMIZI WA KAMANDA ALIYEKUWA ANAONGOZA KAMPENI MIKOA YA MOROGORO NA DODOMA MH BENSON SINGO KIGAILA
 
chadema bado tuna kazi mkuu. usukumani watakuwa wamelogwa. madini yapo lakini wanatembea peku, hawana maji,shule, pamba zinawadodea lakini bado wanakumbatia ccm. Tutafute njia nyingine ya kuwakomboa hawa watu. mia

:target::laser:Usihofu Mkubwa,unajua tatizo ndugu zetu wa usukumani shule ilichelewa kuwafikia, kwa taarifa yako usukumani 75% ya wananchi bado wanaishi katika lindi kubwa ufukara na kutojiamini vyote hivyo vimesababishwa na SISIEMU,ukichanganya kwamba SISIEMU tangu 1995 SISIEMU huwa wanawahonga akinamama wa usukumani chumvi,wali na nyama,kanga na sabuni ili waichague Magamba,mwaka 2005 nilikuwa huko kwa kazi maalumu wakati wa uchaguzi mkuu,mbona pale nilipofikia alikuja balozi wa nyumba kumi kumi akigawa vipande viwili vya sabuni kila kaya ili wanakaya wampigie kura mwenyekiti wa kitongoji kupitia SISIEMU, nilisikitika sana, lakini hivi vitu ni vya kawaida huko,still but we hope M4C ndiyo jibu,watu wetu wanahitaji ukombozi wa kifikira. ARUTA CONTINUA.:target::fencing:
 
Naomba kujulishwa matokeo ya uchaguzi wa madiwani uliofanyika leo Jumapili Tar 28/10/2012
Ulikuwa nyumba ndogo au ulikuwa umelewa sasa pombe zimekutoka? Matokeo yametolewa humu muda mrefu kwenye nyuzi nyingi tu bado huyaoni hadi u-post uzi mpya hapa? Duh, ama kweli duniani kuna watu na viatu!
 
Daraja mbili ndo matokeo rasmi yametangazwa rasmi, watu ni wengi, kina mama watoto, kina baba vijana ni shamra usiku huu, pikipiki zinaendeshwa kwa tairi moja hapa ni balaa maandamano usiku huu hayana kifani.
Pipoz!!!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom