Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

ushahidi namba moja mimi,sinaga mda wa kupiga kura.

Ni kweli mkuu hata wazee sio kwamba wote huenda kupiga kura, mfano baba yangu huwa haendi ( kura yako kupotea

inakuwa cancelled na ya baba yangu kupotea) (ukweli unabaki palepale hapo ndipo ccm wanapoibia)
 
Kwa kweli inasikitisha sana, umaarufu wa jukwaa hili unatokana na kupata habari ambazo bado ni motomoto, kwa kitendo cha kuondoa mada hizo AMBAZO BADO NI HOT jukwaa hili linakosa umaarufu wake na kuwa kama vyombo vingine vya habari kama vile magazeti na redio.
 
Fungueni 'CHAGUZI NDOGO'. Iko kati ya 'Jukwaa la Historia' na 'Katiba Mpya' hapo juu. Poleni.
 
kata ya bangata ccm washinda kwa ushindi mwembamba.hongera kwa CDM.
 
jiulize ccm mmepoteza kata ngapi maana cdm na tlp imerudisha kata zao zote! Cdm ndi washindi hapa!

Naomba nijibu swali kaka, mmepata kata ngapi?? Manake mlikuwa na tambo nyingi sana wakati wa kampeni
 
by the way, chadema mmeshinda kata ngapi?

Ah kikokoteo! huoni kwamba kwa aliekuwa na sifuri akipata chochote hiyo ni hatua kubwa? hata mbuyu ulianza kama mchicha. Je ccm kupoteza inaleta maanagani?

Chadema wanaenda vizuri sana mpendwa.
 
Kwa kweli inasikitisha sana, umaarufu wa jukwaa hili unatokana na kupata habari ambazo bado ni motomoto, kwa kitendo cha kuondoa mada hizo AMBAZO BADO NI HOT jukwaa hili linakosa umaarufu wake na kuwa kama vyombo vingine vya habari kama vile magazeti na redio.
sema tu kama tbc leo nimekodoa mcho mwanzo mwishi nikitaraji watasema ABC za uchaguzi kumbe nilikuwa napoteza muda tu
 
mbona habari ya sisiemu kutumia garama kubwa mna zileta mda huu! kama wame shinda tuwapongeze tu ndio demokrasia
 
Matokeo kamili kata ya kalitu nzega

CCM 854
CDM 354
CUF 57
Hongera hussein bashe baada ya kupanga safu uvccm sasa umeamua kuwashughulikia CDM
 
Matokeo kamili kata ya kalitu nzega

CCM 854
CDM 354
CUF 57
Hongera hussein bashe baada ya kupanga safu uvccm sasa umeamua kuwashughulikia CDM

Kuwa CCM raha bana. chadema ni presha, kisukari na tetenas.
 
Back
Top Bottom