Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

is it a joke or reality? ina maana chama tawala kimeshindwa?
 
jaman kuna lijamaa linajiita CALCULATOR pia MR EMMY wanadai ccm mafisadi ndo wameshinda mtibwa, natmai umbea wao wa uko fb wanauleta uku jf, plz mods ebu fuateni utaratibu, wanaoleta uongo waweBANNED tafadhali na mkianza na hao mashangingi wawili wa ccm

Makamanda mie nipo hapa centre ya mtibwa na kama nusu saa iliyopita ndio mkurugenzi ametangaza ushindi kwa chadema na kesho kutakuwa na mkutano wa hadhara wa kuwashukuru wananchi wa mtibwa kwa kumuenzi marehemu tusekile mwakyoma aliyekuwa diwani wa kata hiyo ambaye alifariki kwa kuchomwa kisu mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Tulianza na mungu tumemaliza na munguMUNGU IBARIKI CHADEMA
 
Kata ya mpepo mbinga nayo wamepigwa kwa asilimia 89 jamani wana jf njooni na hapa mchangie basi
 
kata ya bangata

kura 34 zimeharibiwa
TLP kura 3
CDM kura 881
CCM kura 1177

utangazaji wa matokeo ulikuwa wa taharuki kiasi cha polisi kufika eneo la tukio.
mara baada ya utangazaji wa matokeo msimamizi wa uchaguzi alitokomea kusikojulikana.
 
Mhnnn...haya Bwana. Asiyekubali kushindwa si mshindani...ila hawa jamaa wa Songea watakuwa na uelewa kidogo kwa chama cha .....
 
Hatimae wananchi wa jimbo la kaka Deo wafanya kweli kwa kuwakataa waasisi na walezi wakuu wa rushwa Tanzania ccm na kuchagua mabadiliko ambapo katika uchaguzi huo CHADEMA wamezoa kura 1418 na CCM wameambulia 1247.
Calculator, huko nako ni Arusha au ni Kanda ya Kaskazini Kusini??!!?? Wapi Papaa Chama, Riz1, Tume ya Katiba, Zomba, etc?. Jitokezeni wakuu tupongezane, mbona Magamba mmeshinda kata nyingi tu lakini inaonekana CDM kuchukua kata hizi chache imekuwa kama mmeng'olewa Magogoni? Au ushindi wenu hauna haja ya kuushangilia maana ni wa wizi na pia ni mdogo mkilinganisha na nguvu kubwa mlizokuwa mmewekeza?
 
Matokeo yaliopatikana toka Songea mjini ni kuwa Chadema imepigwa kipigo cha mbwa mwizi kwa kutandikwa kama ifuatavyo:
Ccm kura 955
Chadema kura 297
Cuf kura 27
Na wapeni pole sana wana jf kwa matokeo haya naomba nilale usingizi mtamuuuuuuuuuuuuu Ccm ndio baba ccm yajenga nchi

Kweli Ccm ni baba wa ujambazi
 
Chadema yashinda kwakishindo kata ya mtibwa kwa kupata kura 3096, ccm 1372 na cuf 67.kampeni hizo ziliongozwa na makamanda ALLY BANANGA NA MH CECILIA PARESO MBUNGE VITI MAALUM KUTOKA ARUSHA! CHINI YA USIMAMIZI WA KAMANDA ALIYEKUWA ANAONGOZA KAMPENI MIKOA YA MOROGORO NA DODOMA MH BENSON SINGO KIGAILA

Kampeni hizo ziliongozwa na makamanda Ally Bananga na Cecilia Paresso mbunge viti maalum mkoa wa arusha.



jamani makamanda naona 2015 ni mbali viva cdm. EL hana jibu. Go go go Chadema go.
 
MBWA HAO WASHAJAA MAVI, NA HII NI SALAMU KWAO KUWA 2015 LZM WAHAND OVER SERIKALI O.WISE PATACHIMBIKa, ureheee

Tatizo wanachadema mlitegemea makubwa kwenye chaguzi hizi ndogo za kata na sasa hakuna jipya mlilolipata mnajifariji tu! 2015 mtaendelea kujifariji
 
Mpaka saizi Kata ambazo zimechukuliwa na CDM ni kama zinavyoonekana hapa chini;
Sikonge - Ipole,
Arusha- Daraja II
Kilimanjaro - Rombo
Iringa - Ludewa
Morogoro - Mvomero.
.....

Nadhani utaratibu huu ni mzuri kuwakumbusha wanaoshangalia Kuwa hii ni Katika Kata 21 zilizo tangazwa....do the mathafaking mathematics
 
Back
Top Bottom