Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Usukumani CDM imeshindwa kata zote 4 (bugarama-kahama, shinyanga,misungwi na geita) ila nimefarijika maana ushindani ulikuwa mkubwa na Hongo ndo imetumika sana. Sina shaka uandikishaji mpya ukija tunashinda bila jasho kali kama hii na isitoshe kata hizi zote zilikuwa za ccm mwanzo.
mbna matokeo startv wanasema tayari ccm wameshinda kata mbili huko??means wametia maji kwenye petrol?
 
bangata - arusha

mgombea
peter olais mfere ( ccm ) ametangazwa mshindi .


 
Wewe hupendi kufananishwa na gamba kwanini wewe unawafananisha wenzio wakati una weza kucheck posts zao zilizopita?!

Maybe you are drunk, lakini amua ulichoamua kukiamini. Ila magamba wote washindwe kwa jina la Yesu! Tuna Mungu mwanzo mwisho!
 
Uchaguzi mdogo wa Udiwani uliofanyika katika Kata ya Bugarama wilayani Kahama mkoani Shinyanga:

Katika uchaguzi huo ulifanyika leo
CCM imepata kura 1145
,
Chadema: 772 na
TADEA: 156

Wagombea wakiwa Nixon Igoko (CCM) Erasmus Francis (CHADEMA)


Pia habari zilizopatikana kutoka Kata ya Shinyanga mjini ambako pia uchaguzi mdogo wa Udiwani umefanbyika, zimasema CCM imeshinda.
 
Niko hapa ktk ofisi ya mtendaji ya daraja mbili bado yanafanyika majumuisho, watu ni wengi sana na polisi wako wakutosha.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
NAHISI ATA HAWAKUWA WACHUNGU WA KULINDA KURA ZAO, NI V RARER KWA MICCM KUSHINDA KIHALALI LABDA DODOMA LK C MPWAPWA, LKN YANASHINDA KWA MARGIN NDOGO SANA YA KURA, APO MTAONA MAGEUZI YAMEUNGWA MKONO KWA ASILIMIa KUBWA.

Mbunge Filikunjombe ameshatuma salamu kwa Makamanda kwa kuwatanguliza wasafisha njija kutoka kata ya Mlangali. Chadema imeshafungua pazia lake Mkoa mpya wa Njombe.
 
HIVI MBONA IDADI YA WAPIGA KURA.......NI NDOGO SANA. TATIZO HILI HATA UCHAGUZI MKUU LILIKUWA NI TATIZO. jE, DAFTARI LA TUME LINA DATA SAHIHI? TOA MAONI YAKO...
 
mbunge filikunjombe ameshatuma salamu kwa makamanda kwa kuwatanguliza wasafisha njija kutoka kata ya mlangali. Chadema imeshafungua pazia lake mkoa mpya wa njombe.

inatia moyo sana, ivi viti vyote vilochukuliwa na cdm vilikuwa chini ya ccm, na km magamba hawajajifunza basi 2014 kt chaguz za serikali za vijiji watashangazaa, cdm iz ril flying
 
HIVI MBONA IDADI YA WAPIGA KURA.......NI NDOGO SANA. TATIZO HILI HATA UCHAGUZI MKUU LILIKUWA NI TATIZO. jE, DAFTARI LA TUME LINA DATA SAHIHI? TOA MAONI YAKO...

vijana wengi hawana mda wa kupiga kura.
 
inatia moyo sana, ivi viti vyote vilochukuliwa na cdm vilikuwa chini ya ccm, na km magamba hawajajifunza basi 2014 kt chaguz za serikali za vijiji watashangazaa, cdm iz ril flying

Nilikusudia kuuliza swali la msingi hapa kuhusu kata zinazogombaniwa katika uchaguzi wa madiwani leo kwamba ni zipi zilikuwa zikishikiliwa na CCM na zipi zilikuwa za Chadema. Kwa tamko lako inaelekea kata nyingi zilikuwa za CCM, kwa mantiki hiyo Chadema kwa ushindi uliopata imeshaingia himaza za CCM na hivyo kuongeza safu zaidi ya wawakilishi na hivyo dau la Ruzuku CCM litapungua kwa kiasi fulani huku Chadema likipanda kwa kiwango fulani. Huu ndio mwenendo wa hali halisi ya kisiasa unavyoelekea.

Usishanga vyama vya CCM na Chadema kutoka povu jingi katika kampni kisa ni kukazania dau lao la ruzuku kuongezaka au kutopungua.

Lakini Chadema ikiwa na more reasons ya kujitanua zaidi kuelekea 2015 wameshaipoka CCM baadhi ya kata zilizoshikiliwa nao.
 
CHADEMA - 329.
CCM - 690.
CUF - 222.

Magamba yameshinda kwa tofauti ya kura 361.

Kata ilikuwa chini ya diwani wa CUF aliyefariki.

Source:
Mimi mwenyewe nikiwa eneo la tukio.
 
Kiwira kulikuwa na uchaguzi, hii sio ya zamani, jamani mbona mnatuchanganya

Kuna upuuzi unaendelea humu ndani. Kiwira ilifanya uchaguzi muda mrefu.Nashangaa inakuaje mtu anakurupuka anafanya ujinga kama huu
 
Back
Top Bottom