ni kweli ludewa cdm imeshinda katika kata ya mlangali. Tukipata data (idadi ya kura) tutaziweka hewan soon.:target:
Kiwira kulikuwa na uchaguzi, hii sio ya zamani, jamani mbona mnatuchanganyaMatokeo Kamili ya Kiwira: Walio Jiandikisha walikuwa 11866 Kura zilizo pigwa zilikuwa 4341 kura zilizo haribika 24, Chadema 2621, CCM 1649, NCCR 33, CUF 13 hivyo Chadema tumeshinda katika uchaguzi wa UDIWANI
Jamani mbona huko walikoshinda magamba sioni hapa JF wakifurahia ushindi kama CHADEMA wanavyofurahia?
Naona wana tatizo la kisaikolojia kutokana na progress ya CHADEMA!!
Usikute kuwa wewe ni gamba bwabwa!
Hatuwezi kimbia. Tunataka ushindi hata kama ni kata 1 kwa 29. Maana kata zote mlikuwa mnazishikilia nyie(ccm)
Usukumani CDM imeshindwa kata zote 4 (bugarama-kahama, shinyanga,misungwi na geita) ila nimefarijika maana ushindani ulikuwa mkubwa na Hongo ndo imetumika sana. Sina shaka uandikishaji mpya ukija tunashinda bila jasho kali kama hii na isitoshe kata hizi zote zilikuwa za ccm mwanzo.
Omben, nitake radhi (tena hadharani). Yaani mimi unanifananisha na gamba??!! Kwa taarifa yako mimi sijawahi kununua cheti (kwa maana hiyo kazi zote ninazofanya sibebwi) na sijawahi kuiba (kwa maana hiyo sihitaji kulindwa na ma rpc, majaji au watawala magamba). Umeniudhi sana kunifananisha na maadui wakubwa wa taifa langu!