KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
Kuna upuuzi unaendelea humu ndani. Kiwira ilifanya uchaguzi muda mrefu.Nashangaa inakuaje mtu anakurupuka anafanya ujinga kama huu
msamehe bure yawezekana kazidiwa na furaha, wajua matokeo yalotoka tayari yanafurahisha sana. msamehe bure vijana wamefurai