Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

ikumbukwe kata nyingi kama si zote zilikuwa chini ya ccm..

Mkuu Crashwise, tujipongeze kwa kata tulizochukua kutoka CCM. Tena tumechukua maeneo mengine muhimu sana kama Sikonge na huko Njombe!

CCM obviously wameloose!

Baada ya uchaguzi huu tutakuwa na tathmini nzuri ya jinsi ya kuipeleka M4C
 
Habari wakuu!
Mpaka muda huu CCM inaongoza ushindi wa KATA 13 huku chama cha CHADEMA kikiwa kimeshinda kata 3 mpaka mdua huu.

Wenye updates zaidi watupe, ila kiukweli hawa magamba bado wanamizizi fulan ila kupitia M4C na daftari jipya la kura, Tutashinda tu 2015.

zitaje hizo kata zetu za ushindi kaka.
 
Mkuu umenikumbusha machungu niliyoyakuta Karagwe wiki hii. Nimeambiwa watu walikuwa wananunuliwa kwa kuombwa/kubaddilishana hela na kadi ya kupigia kura. Kadi ilikuwa inarudishwa wiki moja baada ya uchaguzi.Nikatamani kujua endapo tungekuwa na sheria ya kuwa mtu lazima apige kura na kuwa endapo mtu akipoteza kadi kuna walau usumbufu ataupata badala ya haya mauzza uza ya kunyanganywa kadi na kurudishiwa uchaguzi unapoisha. Njaa mwana haramu!!!
wamewavizia msimu huu wa njaa ikizingatiwa mvua zilkua haba mwaka huu wakanunua vitambulisho vyao vya kura mkuu
 
Leo tunajua uchaguzi umefanyika lakini mpaka sasa hatujapata matokeo ya uchaguzi huo. Mlioko huko tunaomba updates please
 
Acheni tambo.na muwe serious au la 2015 mtapigwa goli la kisigino hadi mshangae ooho.
 
ccm ovyo sana, wanatumia mpango wa ktufanya mafukara ili iwe rahisi ktuonga kt chaguz nasi tuwape kura, mlaaniwe kabisa ccm
 
wewe utakuwa aunt, unawaza mambo ya wapenzi wakati tunatafuta mtu wa kutuwakilisha kwenye halmashauri..

Mnatakiwa mjue ccm ndo baba yenu. kiburi chenu dawa yake ni ccm tu. na sasa tunamuandaa lowassa, yani mtatoka kamasi lita 50
 
Hatimaye matokeo ya uchaguzi kata ya Mwawaza yamekamilika kwa CCM kuibuka kidedea.

Uchaguzi huo uliofanyika leo hii uliambatana na vurugu zilizotokea kipindi cha asubuhi kwa kuwaponda mawe wafuasi wa CDM ambao walikuwa walikuwa wakielekea eneo la lililoruhusiwa kisheria kusubiria matokeo.

Pamoja na ushindi huo ambao wapiga kura wa kata hiyo walikubali kurubuniwa kwa kupewa 5000/- na wengi wao kuuza vipalata vyao vya kupigia kura kutokana na kutokujua thamani ya kura zao na pesa waliyopewa.

CCM imeshindwa kwenye kata ambayo ilikuwa ikiishikilia kwa takribani miaka 50 huku wimbi la umaskini ukizidi kuwagubika wapiga kura hao na kukosa huduma muhimu ya maji kwa matumizi ya bianadamu na mifugo.
 
Back
Top Bottom