KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
We Bint baada ya kutolewa Makamasi UVCCM Naona umeibukia JF Kutafuta Bwana, na amin nakwambia utarukiwa very soon
MKUU ACHA KUARGUE NA UYO CHANGU ANAKPOTEZEA MUDA, AT MR EMMY, UYU NI CHANGU Tu
We Bint baada ya kutolewa Makamasi UVCCM Naona umeibukia JF Kutafuta Bwana, na amin nakwambia utarukiwa very soon
tangu lini chui mla mbuzi kageuka kuwa mwanambuzi? Ccm ni nyoka na shetani, hawezi akatoka mtu huko wa kulikomboa taifa hili. Ccm ni majamba majizi mafisadi hakuna jipya huko.Ni chama kipya tena? Tujuze kama kimeshasajiliwa mkuu
Waambie mamie....
Nakuja kamanda
KUTOKA SIKONGE Matokeo kamili
ya kata ya Ipole Sikonge ni kama
yafuatayo: CHADEMA - 577. CCM -
373. CUF - 48. Tofauti ni 204.
Mshindi ni kijana mdogo wa
CHADEMA Kamanda Mohammed
Hija.
Matokeo Kamili ya Kiwila: Walio Jiandikisha walikuwa 11866 Kura zilizo pigwa zilikuwa 4341 kula zilizo haribika 24, Chadema 2621, CCM 1649, NCCR 33, CUF 13 hivyo Chadema wameshinda katika uchaguzi wa UDIWANI
Kweli mkuu hawa magamba tutawangoa soontangu lini chui mla mbuzi kageuka kuwa mwanambuzi? Ccm ni nyoka na shetani, hawezi akatoka mtu huko wa kulikomboa taifa hili. Ccm ni majamba majizi mafisadi hakuna jipya huko.
Lwenzera-Geita... ccm wanaelekea kushinda...na cdm wanafuatia kwa karibu sana
Ni kweli ludewa cdm imeshinda katika kata ya MLANGALI. TUKIPATA DATA (idadi ya kura) tutaziweka hewan soon.:target:JAMANI NASKIA LUDEWA UKO CHADEMA KASHINDA MWENYE MORE UPDATEs ATUJUZe
Baadhi ya picha baada ya zoezi la kuhesabu kura katika vituo vya Afisa Mtendaji na Darajambili PS.
View attachment 69634
ccm wameshatangazwa washindi mkuu, hapo tumepigwa mkuu.
source; tanuruni
ccm wameshatangazwa washindi mkuu, hapo tumepigwa mkuu.
source; tanuruni
Matokeo Kamili ya Kiwira: Walio Jiandikisha walikuwa 11866 Kura zilizo pigwa zilikuwa 4341 kura zilizo haribika 24, Chadema 2621, CCM 1649, NCCR 33, CUF 13 hivyo Chadema tumeshinda katika uchaguzi wa UDIWANI
Utakimbia sasa hivi matokeo rasmi ya kwingine! Tukata tuwili? Subiri