Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Hivi huyu mwalimu wa CDM aliresign kazi yake au aliomba likizo bila malipo?
Sijui ataenda wapi baada ya uchaguzi. Posts zote CDM zimeshajazwa na ndugu zangu wachagga!

Wakati mwingine inabidi uone aibu ndugu yangu!!!! Lakini haisumbui tunajua upo kazini na baada ya hapa unaenda kusaini kwa Nape. Unafikiri hizo siasa zenu uchwara za kueneza na kuutumia ukabila kutugawa watanzania zitafanikiwa? Tafuta kisingizio kingine, hilo la ukabila limepitwa na wakati sasa!!!!!

Tiba
 
Kwa mujibu wa mwandish itv wanadai kuwa hakuna sanduku hata moja lilofika kwa mkurugenzi je matokeo yatatoka sa6 kama walivyo tuahidi?
 
Huna jipya? ngoja matokeo, au kalale kesho kazi au mwenzetu jobless? na magwanda wakudanganya watakupa utajiri wakichukuwa uongozi? Au ndio wale wakimbizi mnaochukuwa fedha za bure?

unataka ujue kazi ninayofanya, nikikueleza utaweza kuifanya?
 
matokeo ya kata 10 yanaonesha kuwa CCM imepata kura 10,228 wakati CDM imepata kura 7316 hivyo CCM inaongoza kwa kura 2912!
magamba wenzako wamesharudi dar kuendelea na msiba. Lakn ww hukati tamaa tuu. Komaa mpaka magwanda washindwe.. Rostam yupo dar hatak presha za magwanda
 
Igunga sasa isha anza nitia pressure.... Usingizi wagoma, matokeo bado ndo kwanza nasikia tena yatakua late... Naona hawataki kesho tufanye kazi.

Twenzetu MMU tukapige stori bana....

Huku mambo yashaharibika.
 
Nna uhakika hizo ni "stress" za Igunga, pumua kidogo kwa kutumia njia zote za kupumulia, itakusaidia.

We umekunywa maji ya bendera ya ccm unafikiri unalipi la kunieleza?
Unalipi la kunifunza?
Unalipi safi la kuigwa?
Una hadithi gani nzuri ambayo mjukuu wako ntaweza isikiliza toka kwako?
Una sifa gani njema ya kuigwa?
Unakinywa kipi kisafi chenye ulimi wa staha?
Unakipi wewe
A
J
U
Z
A??
 
....kwa mujibu wa taarifa za ki intelijensia ni kwamba ccm wanashinda. Kwani wamefunika mbaya vijiji...kama mnabisha muulizeni nape.
 
Hata kama chdm watashindwa, CCM watajua kuwa upepo wa mabadiliko unavuma na muda mfupi yaliyotokea Zambia yataikuta.
 
Ni kweli kabisa!
maana, Kwa data ambazo zimetolewa hapo juu, mbona inaonekana CCM wanaongoza!! (CDM 4692, CCM 5975) labda kama kuna data ambazo hamjazipost. So toeni data, tuache ushabiki!

Kwa matokeo hayo ya awali, magwanda wameshaanza matusi humu jamvini. Punguzeni ghadhab, bado mu wachanga lakini mnajitahidi, msife nguvu 2015 si mbali au muombee majimbo mengine watu wafe muanze kujaribu bahati yenu kwa mara nyingine kabla ya 2015.
 
wewe bahaka wacha kutujazia thread tumechoka mbona hubadiliki kila siku uko kama jina lako au ndo unatafutia watu ban? ila leo umeingiza siku kuliko slave wote wa nepe nahisi nahisi bosi wako anafanya ukaguzi saa hizi hongera sana mwandani wa gamba kuu



Unanchekesha! huo mpasho uko wapi? au hujui mipasho weyee? Unanchekesha!
 
matokeo ya kata 10 yanaonesha kuwa CCM imepata kura 10,228 wakati CDM imepata kura 7316 hivyo CCM inaongoza kwa kura 2912!
source tafadhari,manake watu tunashindwa tushike lipi,mara kata 13 tayari mara kata 4 etc,nawe umeibuka na kata 10!yaani ni kizungumkuti tu!!!!
 
CCM mkichakachua matokeo ya Igunga tunaanzisha cha LIBYA!!

Thubutu???Walibya leo hii wanalia kwa hilo unadhani waTZ ni mbumbumbu? Mlise,ma mtaanzisha maandamano nchi nzima mbona siyaoni???Ingieni barabarani muone kilichomtoa kanga manyoya, Fanyeni kazi msilete shari.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom