Matokeo ya NACTE yametoka?

 
Tar 25 sio kuripot bali ni masomo kuanza
Yaani wanafunzi wanatakiwa wawe admitted kabla then tar 25/9 ndio waanze masomo.

Wanatakiwa wiki ijayo wawe wamemaliza mambo yote ya kuripoti na kusajiliwa ili j3 wawe darasani kwa masomo.

Muda umeenda sana na kujiandaa kikamilifu ni ngumu kama wahusika hawajaona majina yao kuwa wamechaguliwa au wamekosa vyuo walivyoomba
 
IT wa Tanzania ni makanjanja kuanzia heslb,tcu,nacte hawajawahi kwenda on time...system zao zinasumbua as if hakuna watu wa maintenance
kinachowasaidia necta matokeo yao huwa ni suprise
 
Kwa kauli kama hizi bado tuna safari ndefu
 
Unasumbuliwa na mchecheto, hakuna wa kukunyima chuo na by the way hadi umeomba ulikuwa umeshajiandaa kusoma mwaka huu. Ni uongo eti watu huwa wanasubiri majina ndio wajiandae. Kuwa na subira, teknolojia tuliletewa ndio imesumbua sasa.
 
Amna mkubwa ukiahidiwa usipotimiziwa kulalamika ni haki coz ahadi ni Deni ila tuchunge kauli
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]nacte [emoji117] VS [emoji118] wasubir post[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Siku haijaisha braza kuwa na subira kidogo
 
Hivi vyuo vya serikali ngazi ya diploma vinaafunguliwa lini vile?,kuna kijana nilimuombe naona harejei tu toka JKT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…