mzee wa giningi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 519
- 336
Vp uliwaibukia...?Ikifika saa tano bado hawajatoa. Nawaibukia leo
Kulikuwa na haja gani ya kututangazia tarehe 14 rubish ideaIfikie hatua watanzania tujifunze kua na subira... Uvumilivu n kitu kizur katika kila jambo au hatua katika maisha mkuu!
Fikri kabla ya kutenda tatizo si chuo wao walisema tarehe 14 na karo za vyuo ni kubwa now compare 2 zamani maandalizi mhimuMkuu si chuo utaenda haraka ya nini?
Mkuu andaa ada tu sisi nakumbuka vyuo vilitoa majina mwezi wa kumi na baada ya week moja ingetakiwa tuwe chuo na mikopo tuliambiwa tutaipata chuo huko hukoFikri kabla ya kutenda tatizo si chuo wao walisema tarehe 14 na karo za vyuo ni kubwa now compare 2 zamani maandalizi mhimu
Wewe ropoka tu yaje yakukute makuuLeo tarehe 15 nacte wameshindwa kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya diploma na cheti wakati waliahidi watatoa tarehe 14/09/2017 katibu mkuu nacte ni mpuuzi sana anatufanya watanzania hatuna akili wakati analipwa mshahara kwa kodi zetu nacte haifanyi kazi ni wababaishaji .
Mda wa kuripoti chuoni unakalibia nacte wamegoma kutoa majina gharama za vyuo ni kubwa zinahitaji maandalizi ya mda mrefu ukweli mnatuchanganya sana.
Mtoa uzi yuko emotional saanaLeo tarehe 15 nacte wameshindwa kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya diploma na cheti wakati waliahidi watatoa tarehe 14/09/2017 katibu mkuu nacte ni mpuuzi sana anatufanya watanzania hatuna akili wakati analipwa mshahara kwa kodi zetu nacte haifanyi kazi ni wababaishaji .
Mda wa kuripoti chuoni unakalibia nacte wamegoma kutoa majina gharama za vyuo ni kubwa zinahitaji maandalizi ya mda mrefu ukweli mnatuchanganya sana.
Acha ujinga ww kuna vitu vya kuvuta subira ila sio km hiki mana wengne huwa inatakiwa wajue mapema wapitishe mchango.Ifikie hatua watanzania tujifunze kua na subira... Uvumilivu n kitu kizur katika kila jambo au hatua katika maisha mkuu!
Ataenda bila kujua kama kachaguliwa au laa?Mkuu si chuo utaenda haraka ya nini?
Kwasababu nyie mlifanyiwa makosa isije ikawa sababu yakuhalalisha makosa mengine.Mkuu andaa ada tu sisi nakumbuka vyuo vilitoa majina mwezi wa kumi na baada ya week moja ingetakiwa tuwe chuo na mikopo tuliambiwa tutaipata chuo huko huko
Acha kumtishia mwenzako,angalia alicholslamikia humo ninini,acha kuogopesha watu hakuna atakayeishi milele na hata hao wanaoleta majanga kwa binadamu wenzao usidhani wanapenda kufanya hivyo wote bali unakuta labda ni amri tu.Wewe ropoka tu yaje yakukute makuu
Subira gani mkuu ilihali watu walishataarifiwa tayar?Ifikie hatua watanzania tujifunze kua na subira... Uvumilivu n kitu kizur katika kila jambo au hatua katika maisha mkuu!