Matokeo ya NACTE yametoka?

Joining instruction hutolewa chuoni huko ulikopata tafuta website yao ndio unawez kuona joining instruction ikiwa tayar wametoa
 
awe kama anataka kulogin aingise username yake(namba ya form four na mwaka aliomaliza form 4) kwa format ya S3434/0053/2016 halafu sehemu ya password sasijaze aclick forgot password, watamtumia kwenye e-mail adress na namba ya simu aliyojaza wakati wa usajili.
Mbona bado awatumi inakuwaje
 
Hongera.vijana mliochaguliwa na zaidi soma.kwa bidii mleta msaada na mabadiliko kwenye sekta ya afya na jamii kwa ujumla.

Waliokosa nafasi na mna vigezo, pia pigeni moyo konde maisha yaendelee.

Cheers kwenu wanangu.
 
Back
Top Bottom