Matokeo ya NACTE yametoka?

Matokeo ya NACTE yametoka?

Hazijatoka bhana mbona kama vile nimeangalia kwenye profile not yet Ualim
 
Aloooo nacte watu tuna two zetu nyeupe mmetuacha alooooo kuwen seriously tuliacha kwenda advance af now mnatuletea songombingo hizo alooooo mtufikirie bac angalau tufarjike na sie
 
Alooo uliyataka mwenyew alooo kuacha advance uliona ni deal alooo polee sana mkuuu aloooh
 
Kuna dogo analia tu hapa kusahau username na password na hajui kama kachaguliwa au la
 
Aloooo nacte watu tuna two zetu nyeupe mmetuacha alooooo kuwen seriously tuliacha kwenda advance af now mnatuletea songombingo hizo alooooo mtufikirie bac angalau tufarjike na sie
Advance nao ni wengi sikuhizi wanaoaply diploma so hawawez kuwaacha wakakuchukua wew
 
Back
Top Bottom