secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,350
- 46,609
Uwongo mkuu.Kuna wanawake wengine wanapenda vitambi
Uwongo mkuu.Kuna wanawake wengine wanapenda vitambi
Kitambi nakipenda balaaaa aiseeeKitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .
Sasa imefika hatua jitu linanenepa mpaka mapaja , unakuta likisimama mapaja yanashikana na matege yake kama jinga flani hivi , na masuruali yake kama ngoswe yanazama kwenye mapupu , kisa tu uwepo wa nyama zembe.
Unanenepa vipi mpaka unakua na shingo kama ya tembo na mashavu kama kiboko kilaza wewe
Angalia jinsi hilo wese linavyo meza hiko kichululu chako kiazi wewe 👇View attachment 3671245
🤣😂😁Hahaha , asije kusema tu shemeji hapana , shem hapana , shem hapn ,shem hapa , shem ha ,shem haaa, shem, she, sh sh shi ooh
Wewe ni wakike? 👹Kwahiyo hunitaki🥲
Kitambi kipigwe marufuku bwashee , hata wabunge wanasinzia hovyo kwa kumiliki mapupu kwa tumboKweli Dunia inabadilika,
Zamani Bongo mtu akiwa na kitambi alionekana ni tajiri,maisha ameyapatia,
Mtu kua na kitambi ilikua kama ni ufahari fulani hivi.
Kitambi chakufutia tachiKitambi kipigwe marufuku bwashee , hata wabunge wanasinzia hovyo kwa kumiliki mapupu kwa tumbo
Mkuu hayo mapupu kwenye kitambi yabahusiana na supu ya mapupu tunayokunywa huku uswazi kwetu?!Kitambi kipigwe marufuku bwashee , hata wabunge wanasinzia hovyo kwa kumiliki mapupu kwa tumbo
Kwa nini tachi ifutwa mpaka ufutie kwa tumbo kubwa ? Kwani tumbo dogo hauwezi futia tachi ?Kitambi chakufutia tachi
Una maoni gani hapa?
Sasa imefika hatua jitu linanenepa mpaka mapaja , unakuta likisimama mapaja yanashikana na matege yake kama jinga flani hivi , na masuruali yake kama ngoswe yanazama kwenye mapupu , kisa tu uwepo wa nyama zembe.Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .
Sasa imefika hatua jitu linanenepa mpaka mapaja , unakuta likisimama mapaja yanashikana na matege yake kama jinga flani hivi , na masuruali yake kama ngoswe yanazama kwenye mapupu , kisa tu uwepo wa nyama zembe.
Unanenepa vipi mpaka unakua na shingo kama ya tembo na mashavu kama kiboko kilaza wewe
Angalia jinsi hilo wese linavyo meza hiko kichululu chako kiazi wewe 👇View attachment 3671245
Kwa nini mtani😄😄Sasa imefika hatua jitu linanenepa mpaka mapaja , unakuta likisimama mapaja yanashikana na matege yake kama jinga flani hivi , na masuruali yake kama ngoswe yanazama kwenye mapupu , kisa tu uwepo wa nyama zembe.
Nimelia sana leo😭😭😭