Matokeo ya kufuga kitambi

Matokeo ya kufuga kitambi

Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .

Sasa imefika hatua jitu linanenepa mpaka mapaja , unakuta likisimama mapaja yanashikana na matege yake kama jinga flani hivi , na masuruali yake kama ngoswe yanazama kwenye mapupu , kisa tu uwepo wa nyama zembe.

Unanenepa vipi mpaka unakua na shingo kama ya tembo na mashavu kama kiboko kilaza wewe

Angalia jinsi hilo wese linavyo meza hiko kichululu chako kiazi wewe 👇View attachment 3671245
Daktari umekasirika sasa umeamua utuchane live
 
Zamani tulikuwa tunajua Kitambi ni Afya kumbe ni Ugonjwa.
 
Back
Top Bottom