Matokeo ya kufuga kitambi

Matokeo ya kufuga kitambi

Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .

Sasa imefika hatua mtu ananenepa mpaka mapaja , unakuta akisimama mapaja yanashikana

Unanenepa vipi mpaka unakua na shingo kama ya tembo na mashavu kama kiboko?
Nimecheka sana kama mazuri😃😄😁😂🤣
 
Mwili mkubwa ni tofauti na kitambi. Unamjua LeBron James? Mwili nyumba lakini hana kitambi. Kuna watu wana vimwili vidogo ila kitambi kama papai!
Ukipigwa ngumi jiandae kukinga 😂

Nilikuwa nafikiri ukiwa na mwili mkubwa ni ngumu kucontroll kitambi.
 
bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .

Acha utani mkuu
 
Wewe umekua miaka ya 80? Enzi zile njaa ilikuwa kali! Ugali wa njano tena lwa foleni. Sasa hivi misosi ya kumwaga ma junk food kibao mara Edson chips sijui nani biriani mara KFC yaani mitakataka kila angle
Mshua mbn umeweka ??? Ni kweli junk food nazo ni changamoto bila kuwasahau wafukiaji kama caterpillars nao ni changamoto
 
Kitambi sitaki kukisikia hata iweje, nikisimama na wadogo zangu wazee wanaonekana wao bs of vitambi 😀...kikikupata kukitoa utaimba na tizi 😂
 
Back
Top Bottom