Matokeo ya kufuga kitambi

Matokeo ya kufuga kitambi

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
58,803
Reaction score
169,564
Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .

Sasa imefika hatua mtu ananenepa mpaka mapaja , unakuta akisimama mapaja yanashikana

Unanenepa vipi mpaka unakua na shingo kama ya tembo na mashavu kama kiboko?
 
Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .

Sasa imefika hatua jitu linanenepa mpaka mapaja , unakuta likisimama mapaja yanashikana na matege yake kama jinga flani hivi , na masuruali yake kama ngoswe yanazama kwenye mapupu , kisa tu uwepo wa nyama zembe.

Unanenepa vipi mpaka unakua na shingo kama ya tembo na mashavu kama kiboko kilaza wewe

Angalia jinsi hilo wese linavyo meza hiko kichululu chako kiazi wewe 👇View attachment 3671245
Dah! Hii ni ngori mazee!
 
Duuh kitambi noma!
 
Wanakwambia Kitambi hakiumi, hakiwashi, kinabebeka wanakimudu 😂
 
Kama huwezi kuchangisha 800k ndani dakika kutoka family yako achana na habari za kitambi
 
Attachments

  • FB_IMG_1783506324545.jpg
    FB_IMG_1783506324545.jpg
    35.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom