min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,803
- 169,564
- Thread starter
- #121
Maumbile genetically yanatofautina mno , mfano mimi nina mifupa mikubwa mtu ambae ningejiachia kidogo ningekua giant, ila mazoezi yananifanya niikatae asili yanguBwashe kuna watu wana miili mikubwa , hawawezi kuwa leaner, unakuta wanakula chakula sawa na sisi vimbau mbau mwiko wa pilau lakini wanajaa.
Nafikiri tunatofautina metabolism.