Matokeo ya kufuga kitambi

Matokeo ya kufuga kitambi

Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .

Sasa imefika hatua mtu ananenepa mpaka mapaja , unakuta akisimama mapaja yanashikana

Unanenepa vipi mpaka unakua na shingo kama ya tembo na mashavu kama kiboko

Hi hatari sana tena Central Obesity ndio inasababisha magonjwa ya Moyo.

Mtu waist circumstance inakuwa zaidi ya centimeter 104 ni hatari sana. Wapo watu BMI zao ni 35 ambayo ni Obesity Class Two wengine wana BMI over 40 ambayo ni Obesity Class Three.
 
Huwa nsjiuliza mtu mwenye jitumbo anahemaje...huwa ina ni frustrate sana nikishiba..nahema kwa shida.
Kwa shida mno ila kwa sababu yeye kazoe anaona kawaida tu
 
Back
Top Bottom