Matokeo ya kufuga kitambi

Matokeo ya kufuga kitambi

Hahaha umenisema mimi...

Niliingia keto diet, napungua kilo mbili zinaongezeka tatu..😆..mwishoe nikaamua kuridhika na kitambi changu lol

Sikumbuki figures ila inasemekana 80% ya fat people wanaolose weight, kilo zinarudi baada ya muda kidogo..the struggle is real!
 
Mazoezi yanahitaji ujitoe kikamilifu mno , yawe kama mlo kila siku, ukizoea mwili utahitaji wenyewe tu
 
Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .

Sasa imefika hatua mtu ananenepa mpaka mapaja , unakuta akisimama mapaja yanashikana

Unanenepa vipi mpaka unakua na shingo kama ya tembo na mashavu kama kiboko?
Inasikitisha Sana.
 
Back
Top Bottom