Matokeo ya kufuga kitambi

Matokeo ya kufuga kitambi

Huu uzi sijaisoma ila cha kuzingatia zaidi ni kuweka mfumo mzuri wa maisha(ni special spirit we get from the natural strength)mazoezi,kula kwa mzingatio wa afya yako,kushughulisha ubongo na mwili,starehe pamoja na vingine vyenye asili kama vile kukimbia n.k.

Hakuna mtu mwenye kasoro

(KITAMBI NI UGONJWA)si utamu wa mtu.
 
Comment yako sijasoma ila umenena vyema kabisa
 
Back
Top Bottom