Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

Status
Not open for further replies.
wabongo bwana kutofanya vizuri academics sio kwamba hana kitu kichwani. Mfumo wetu wa elimu uko one sided ndio maana wanashindwa wengi.
kuna watu wana vipaji tofuti vimeshindwa k kuibuliwa sababu ya kasumba ya physics , hesabu na history.

Life is not about all about academics.

Kuna watu wanaishi kwa kupiga kasia tu ulaya hata ukimuuliza archemedes principle hajui.

Hapo jirani kenya kuna wakimbiaji ukisikia wanhojiwa kingereza unajua kuwa hata hicho wanachoongea wamejifunza juzi juzi.

Inawezekana kweli kibonde hakufanya vizuri but tusisababishe tufanye kila mtu atake kwenda chuo kikuu ndio ajisikie kuwa ni mtanzania .

Nchi haiwezi kuendeshwa na wavaa tai tu na mainjinia. Tuache kuweka siasa na unafiki

Mkosoeni kibonde kwa hoja zake

Sawa kwa mizania hiyo hiyo huwezi kunywa Form 4 kisha ukajifanya kuwasagia UDSM kwa mtindo unaoonyesha kwamba wewe mi zaidi kielimu.
Kam umekunywa kwenye hii Formal Education, Wasomi wakiongea Funga Bakuli lako hujui kitu huna uwezacho kujadili.

Subiri akina Professa Maji Marefu wakiongea nawe udakie.

Mambo ya kwenye Mdigirii waachie Wadigirii wenyewe.

Jamii ya Akina Kibonde ni Lazima wakome kuringa KIMDIGIRII.( ACCADEMICALLY)
 
kibonde anatetea uji wa lishe ya watoto wake,so he can do anything or say anything
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde
 
Jamani dont wast ur time talkn about kibondo kwani kìhostoria huyu jamamaa alisumbua sana wazazi wake akiwa (ONE OF JEHOVAS WITNESSES).
Baada ya kuönekana hafundishiki na wazazi wake waliamua kumuacha afunze na ulimwengu ndipo alipoukwaa very bad enough akaambukiza mama na mtoto alivyoona mambo ni magumu akawarudia wazazi na wazee wa kanisa akatubu na batizwa huku akitumia RVs

Baada ya kuona RVs zimefanya kazi akamuwa kurudi kule alitoka Pombe, madem, nafikiri atakuwa suspended na kanisa sasa.
Kurunzi, tunaweza kumjadili yoyote kwa kadri tunavyotaka, lakini hili la disclosure his HIV status, ni kuvuka mipaka ya ki utu na ubinaadamu.

Pamoja na madhaifu yake yote, Epharaim Kibonde pia ni binadamu, mtukaneni mnavyoweza ila sio kufikia hatua za kumvunjia utu wake!.

Binadamu ni binadamu no matter what, anastahili heshima ya utu wake, dignity na his right to privacy.

Wale mnaendelea kumtukana naombeni msilikashifu jina la Kibonde, hilo sio jina lake bali ni la mzazi wake, yeye jina lake ni Ephraim. Msilikashifu jina la Kibonde ambaye ni baba mtu kwa makosa ya mwanae.

Nini cha ajabu kuhusu D mbili?. Si angalau ana Div IV ya point 28!. Hebu fikirieni ni wangapi wanaozungusha na Div Zero?. Ephraimu hapo amejitahidi sana. Ukifuatilia Divisheni za watangazaji wetu wengi utaishia kushangaa na ndipp mtamkubali heri hiyo Div IV yake tena nzuri ya angalau D mbili!.

Tukubali tukatae Ephraim is a star na amerise kwenye stardom kwa hizo hizo kauli zake mbofu mbofu na kinachoendelea sasa kila siku kumjadili, sio tuu kunazudi kumpandisha chati, bali pia ndio tunanpeleka kwenye utukufu zaidi na zaidi na kipindi chake cha Jahazi ndio top radio program kinachosikilizwa kuliko kipindi kingine chochote!.

Kwako ndugu yangu, rafiki yangu na mwenzangu Ephraim najua utasoma hapa, haya nilitakiwa kukuambia kwa mdomo tukionana, au nikupigie simu lakini namba yako nime i delite long ago.

Hakuna ubishi kuhusu kipaji chako as a comedian, utangazaji na good performance yako as an MC, kwa sasa uko juu sana!. Please please please!..its about time come down little by little, jishushe, be humble kwenye matamshi yako infront of mic.

Zingatia misemo hii:
"The hastly climbers have a sudden fall"
"Mpanda ngazi hushuka".
"Lenye mwanzo, lina mwisho"
"Anaye jidhania amesimana, na aangalie asianguke".

Just change before changes change you!.
Pasco
 
Hapo nimeona Point moja tu kujadili Ugonjwa wake. Hii inakua point tu kama haenezi kwa watu wengine kwa makusudi.

Kuhusu kupanda chati kwa kuongea mambo ya ovyo ovyo.
Kama yeye kapanda chati kwa kuzoza mbovu yeye akizozewa mbovu ubaya uko wapi??

Mbovu zimempa chati mbovu zitamvua chati.

Ibilisi naye ni Maarufu sana kila siku anapata wafuasi wengi wa kutosha na wengine wamepanga foleni ili wapate walu uanachama tu.
Ibilisi ni maarufu kwa mambo ya ovyo ovyo.
Kusema uongo.
Uzinzi.
Uasherati.
Kuua.
Kuiba.
Hila Chuki nk
Shetani anaitwa shetani kwa sababu ya mambo yake na mambo yake ndiyo huumpa umaarufu na ni hayohayo humpeleka kuzimu.
 
Kibonde amenishangaza maana kusikiliza kote muziki na kuwa MC kwenye maharusi alishindwa kupata two cents za busara!
Nina uhakika amewahi kusikia maneno haya mahali
'if you live in a glass house, don't through stones'
Ooops! Nilisahau, alipata 'D' ktk somo la kiingereza! No wonder a lot of things do not make sense to him!
 
Pasco na Madela

Mmeongea mambo muhimu sana... balancing act!!

Kwa pasco umebalance humanity na our rights kuwa dignified, na madilu wewe umebalance rights na responsibilities... reading the two, napata dilema kubwa, je aendelee kuchafua hewa na kudhalilishwa mtaani (remember he has a family and relatives)

I think kwa hili, Ephraim needs to humble down coz he is being humbled too bad

Pia, siungi mkono disclosure ya status ya mtu yoyote, lakini pale tunapojua anaueneza, basi awekwe kwenye public
 
Kwaniiiiiii............. Hivi Bilgate alipata division gani.........??? Hivi huko mitaani hakuna wenye DIV one waliofulia..........??? AU mnaweza mkanionyesha makaburi ya wenye zero...........???? Jadilini alichokiropoka na si anaumwa nini, alipata DIV gani, histioria yake ipoje......!!!! Nyie mnaojadili hapa mbona hamuweki matokeo yenu...........??? AU wote mlipata wani ya 7 and then wani ya 3......??? ACHENI HIZO.............
 
...........
Kam umekunywa kwenye hii Formal Education, Wasomi wakiongea Funga Bakuli lako hujui kitu huna uwezacho kujadili.

Subiri akina Professa Maji Marefu wakiongea nawe udakie.

Mambo ya kwenye Mdigirii waachie Wadigirii wenyewe.

.................

Unataka kusema akiongea dr kikwete prof ,mwandosyaau au dr ananilea Nkya wale wote wanaochallenge hoja zao hapa jf ni ma dr au proffesor

Unataka kusema kumchallenge proffesor shivji lazima uwe ulipata GPA nzuri chuo kikuu.

Hivi hata hata hao waandishi wa mashirika makubwa kama CNN, BBC wa vipindi kama vya hardtalk wote wamefika vyuo vikuu???

mhhh hao wasomi UDSM wenyewe hawajamliza chuo wameshaanza mbwembwe. sasa wakija mtaaani si ndio siasa za maji taka na dharau kujiona wao ndio first class citzen just bcs ya elimu.
 
Kwaniiiiiii............. Hivi Bilgate alipata division gani.........??? Hivi huko mitaani hakuna wenye DIV one waliofulia..........??? AU mnaweza mkanionyesha makaburi ya wenye zero...........???? Jadilini alichokiropoka na si anaumwa nini, alipata DIV gani, histioria yake ipoje......!!!! Nyie mnaojadili hapa mbona hamuweki matokeo yenu...........??? AU wote mlipata wani ya 7 and then wani ya 3......??? ACHENI HIZO.............
Mkuu form IV ulianguka nini, mbona imekugusa sana.......pole mkuu ni maisha tu. Ila huwezi kukwepa ukweli kwamba kwa Tz watu dizaini ya akina Kibonde huwa wanaishi kisanii sanii tu, ole wenu wasanii wote.........siku zenu si nyingi hii tutakapoirudisha kwa wasomi ndio utajua tofauti ya kufaulu na kufeli. Halafu asikudanganye mtu mkuu Bill Gates ni jiniaz yule , usidhani kuwa alikuwa anapata alama za chini.
 
Yabandikwe ili iweje? Yatasaidia nini? Huyu bwana naona hapa anaonewa. Yeye kazungumza anayoyajua/aliyoyaona, na si kwa wanafunzi wote, ni baadhi tu wanaotumia pesa vibaya. Yeye ni mwanahabari anapaswa kuielimisha jamii kwa lile analolijua alilolifanyia utafiti. Itasaidia nini kumchambua na kumdhalilisha? Cha muhimu hapa ilipaswa kupinga kwa hoja yale aliyosema kama ni ya kweli au la, na sio kumchambua kuwa kafeli, anaumwa, n.k. Wangapi wanaoumwa, walifeli form IV na wanaendelea kulitumikia taifa kama kawaida? ni wengi tu. Vyovyote iwavyo, huyu bwana bado tunamhitaji sana kwa mchango wake kutokana na kipaji alicho nacho. Si vibaya kumkosoa mtu, lakini sio kumtukana.
 
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde

Kumbe alipata D mbili tu alijitahidi sana akirudia miaka hii anaweza pata hata B nne
 
Wakuu,

Niseme tu kwamba naungana na Mkuu Pasco kwa maneno ya busara hasa hili la STIGMA na kutovuana nguo katika hoja zetu. Yamkini Ephraim Kibonde kama binadamu ana mapungufu yake lakini suala la yeye kuwa au kutokuwa na UKIMWI halipaswi kuwa hoja hapa bali kile kilichomtoka kinywani.

Labda niseme tu pia kwamba hakuna mwenye uhakika kama kweli ndugu yetu Mtangazaji na MC mahiri Kibonde anasambaza makusudi kama ni kweli anaumwa lakini kuzungumzia magonjwa ya watu ni kuingilia privacy na stigma ya hali ya juu.

Just leave him at peace anatekeleza kile alichotumwa kufanya na hicho ndicho kinachomfanya mkono wake uende kinywani.Suala la matokeo sijui ya Form IV ni irrelevant hapa kwasababu baadhi yetu tumelelewa na kuzaliwa katika familia ambazo wazazi wetu hata darasa moja hawakusoma sana sana walijifunzia kusoma katika mpango wa serikali wa kupunguza illiteracy lakini wametulea katika maadili na tuna vitu vingi tumejifunza kwao hata leo hii tuna elimu lakini tunatumia hekima na busara waliyotufundisha.

Ninachotaka kusema hapa ni kwamba yapo mengi mazuri tunaweza kujifunza kutoka kwa Ephraim Kibonde as a person ambayo hayahusiani na Div IV yake infact mimi nilikuwa nafikiri Kibonde ni msomi mweledi hasa kutokana na anavyojadili na kuchangia katika hoja mbali mbali za kijamii na za kitaifa.Na pia demokrasia inaruhusu uhuru wa kila mtu kutoa maoni yake ili mradi asivunje sheria kwahiyo alichokifanya na anchokifanya Kibonde ni kutekeleza tu uhuru wake wa kikatiba wa kutoa maoni. Hatuwezi kufanana kwa kila kitu hata tukiwa IDENTICAL twins jamani! mwacheni Kibonde wa watu afurahie kuwa mtanzania kwasababu u-tanzania ni zaidi ya kupata Div IV au I katika mchakato wa elimu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom