Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

Status
Not open for further replies.
asante kwa kutufumbua macho maana mwanzoni (since CTN i guess) nilidhani alikuwa >MBA holder kutokana na jeuri aliyonayo. Fikiria huyu mtu ndiye anatumiwa na watawala kuponda watu wenye vision ya kuiondoa TZ hapa ilipo!!!!!! HAELEWI KITU mbali na kuongea sana. Ili suala ni nyeti ukichukulia umuhimu wa media on the transformation process, fanyeni homework kidogo juu ya upeo wa READIO PRESENTERS ZA MAJIRANI ZETU ndio ujue kuwa huyu Kibonde hafai!!! Issue zake ni kunyemelea complimentary za matukio ili aonekane lakini matokeo ni aibu ndogo tu maana zipo nyingi zaidi
 
wana udsm please tusaidieni ku scan ikisambazwa facebook kazi itakuwa imekwisha!
 
asante kwa kutufumbua macho maana mwanzoni (since CTN i guess) nilidhani alikuwa >MBA holder kutokana na jeuri aliyonayo. Fikiria huyu mtu ndiye anatumiwa na watawala kuponda watu wenye vision ya kuiondoa TZ hapa ilipo!!!!!! HAELEWI KITU mbali na kuongea sana. Ili suala ni nyeti ukichukulia umuhimu wa media on the transformation process, fanyeni homework kidogo juu ya upeo wa READIO PRESENTERS ZA MAJIRANI ZETU ndio ujue kuwa huyu Kibonde hafai!!! Issue zake ni kunyemelea complimentary za matukio ili aonekane lakini matokeo ni aibu ndogo tu maana zipo nyingi zaidi
Anatumiwa huyo jameni
 
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde

hhahahah!!

iyo nimeiskia laivu wakati vijana wanapelekeshana na mtu anayeitwa shukuru kawambwa.

vipi?

alipata D mbili, kozi zingine je?
 
Inawezekana dalili za ukibonde zilianza mapema just after birth. If not, how comes wazazi wake walimpa jina hilo ambalo linaoana vizuri na matokeo ya form four? Wazazi wake lazima watakuwa wana elimu kama ya shekhe yahaya.
 
Jamani kama hakuna wa kuyascan hayo matokeo hapa, pls do me feva, naomba kila mmoja aclick kale kabani kakushare na facebook basi kwisha habari yake, na kile kipindi chao cha jahazi wapo kwenye facebook, basi kifuatacho ni kuwarushia hii thread hukohuko walipo, dunia ya leo hakuna cha kuficha. ebu nitarudi baadae ngoja nihamie facebook kwa muda nikamchafulie hali ya hewa.
 
ndio dawa ya watu wanaodandia treni kwa mbele.......kibonde utu wake hadharani..ha ha ha....naombeni ya ma-thread
 
comment nyingi bila data thredi hainogi.

mtu a-scan matokeo amwage data.

au wenye softcopy watuekee
 
Ni kweli si vyema kwa waandishi na wana media au kwa maneno mengine watu wapoongea naumma yapasa kuwa makini sana haya maswala ya kushadadia na kuweka maslahi ya wachache kwenye mambo ya msingi ndiyo yanazaa ya kibonde, na kwa taarifa yenu kibonde anasakwa juzi usiku walimwendea nyumabi kwake kwa nia ya kumuua. Pamoja na yote hayo nichukue fursa hii kumuunga mkono aliyesema tumpuuze maana hata grade zake za form four zishaonesha ni mtu wa aina gani. Pia wana UDSM wakiendeleza nia ya kumuua watakaohusika wote na victims wataweza kuingia matatani kwani huwezi jua unawezaenda mtaani kwa watu mkaitiwa wezi mkauwa au kujeruhiwa bila kutambulika ni mwanafunzi ama la maana hutakua na umeandikwa usoni. Pili kwa msomi kama umekuwa umedhalilishwa au umekerwa na media flani ni bora kuishitaki mahakamani kama huna imani na mahakama nenda media council of tanzania pale kina shivji na senkoro mvungi watakusaidia sana. Tatu mking'ang'ania kibonde mtapoteza hoja yenu ya msingi na kuonekana wahuni kama alivyosema. Mwisho kuna umuhimu mkubwa sana wa wanafunzi wa vyuo vikuu kuwatosa wale wote wanaowaibisha na kumpa kibonde cha kuongea maana hao ndiyo anakutana anao kwenye kichen paty na ubaba party may be. kuwaonya wanao vaa nguo za darasani na nguo ambazo kwa macho ya kawaida ni ya kichangudoa, kuwaonya wachache dhidi ya walevi kama wanaharakati walivyokua wananuka pombe ikimaanisha hawana comfidence mpaka wanywe pombe ndiyo waweze kuongea mbele ya waziri au kuhimiza wenzao kuandamana, kuwaonya wale wote wanoacha kusoma kwa bidii na kuishia kula stori, kuwaazsa wenzenu kuwa serious na masomao na siyo mwanafunzi anakua na note book moja kwa masmo matatu library haingii anaishia kupiga madaftari ya wenzao copy bila kujua kila mtu anatake note kwa kadiri alivyoelewa.
 
Sisi tulifanya uhuni wote enzi zile form two Tosamaganga wakati mama yake kibonde akiwa Binti.
Huu uhuni wa kina Kibonde wa kudekadeka na kulegea mbele Microphone haufui dafu.
Mtu akisema sisi au wanafunzi wa UDSM ni wahuni huenda yuko righy lakini ni vema ajiandae.
Mazingira ya UDSM yamwchakaa nje na ndani na Alumina Wake Maarufu JAKAY MRISHO KIKWETE anaona Fahari kubwa University pekee alosoma kuwa ndembendembe usoni pake.

Kama mtu anakufa au anaishi hiyo sisi haituhusu.
Wauaji hapo Dar wako kila kona hawakamatwi wanatembea vifua mbele mchana kweupe, huyu hyawani akibanwa LOHO yake eti ndo watakamata Mtandao mzima??

Nipe robo saa nipumzike!

Acha kutisha watu kwa Staili ya GreenGuard.

Jamani dont wast ur time talkn about kibondo kwani kìhostoria huyu jamamaa alisumbua sana wazazi wake akiwa shule hasa ukizingatia kuwa wazazi wake ni watu wa dini sana (ONE OF JEHOVAS WITNESSES).

Baba ni mstaafu wa Bandari na mama yake pia nistaafu wa shirika la Bima, Ana dada zake 3 mmoja ni PR Wa PPF SARAH Kibonde

Baada ya kuönekana hafundishiki na wazazi wake waliamua kumuacha afunze na ulimwengu ndipo alipoukwaa very bad enough akaambukiza mama na mtoto alivyoona mambo ni magumu akawarudia wazazi na wazee wa kanisa akatubu na batizwa huku akitumia RVs

Baada ya kuona RVs zimefanya kazi akamuwa kurudi kule alitoka Pombe, madem, nafikiri atakuwa suspended na kanisa sasa.
 
Nafikiri Kibonde ni Mtangazaji BORA kwa sasa hivi Tanzania.

Mtangazaji ni lazima watu wakuongelee sana.

Haijalishi kwa mabaya au mazuri. Kibonde kila siku mnamtaja, duu!!! Jamaa kweli yuko juu.

Bahati mbaya/nzuri kijijini kwetu huku Sikonge, hii Radio haifiki.

Yo Yo mzima? Nilisikia Polisi wamekuweka Lumpango!!!! Polisi anamkamata SOULJah Boy???

Tofautisha ubora ,umaarufu au kujulikana mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom