Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

Status
Not open for further replies.
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde

ni kanjanja!,
bt hakuna cha kumzungumzia
 
Huwa siungi mkono swala la kumjadil mtu, lakn hli la huyo Kibonde linaniuma sana.. Kama ni kweli, basi jamaa hafai kabisa.. NAMCHUKIA KAMA SERIKALI..
 
Jamani dont wast ur time talkn about kibondo kwani kìhostoria huyu jamamaa alisumbua sana wazazi wake akiwa shule hasa ukizingatia kuwa wazazi wake ni watu wa dini sana (ONE OF JEHOVAS WITNESSES).

Baba ni mstaafu wa Bandari na mama yake pia nistaafu wa shirika la Bima, Ana dada zake 3 mmoja ni PR Wa PPF SARAH Kibonde

Baada ya kuönekana hafundishiki na wazazi wake waliamua kumuacha afunze na ulimwengu ndipo alipoukwaa very bad enough akaambukiza mama na mtoto alivyoona mambo ni magumu akawarudia wazazi na wazee wa kanisa akatubu na batizwa huku akitumia RVs

Baada ya kuona RVs zimefanya kazi akamuwa kurudi kule alitoka Pombe, madem, nafikiri atakuwa suspended na kanisa sasa.

duh!price ya kuwa celebrity ndio hii!kibonde ongelea mipasho achana na masuala ya itikadi.unaona madhara yake!tusubiri mengine.kwi kwi kwi!
 
Jamani dont wast ur time talkn about kibondo kwani kìhostoria huyu jamamaa alisumbua sana wazazi wake akiwa shule hasa ukizingatia kuwa wazazi wake ni watu wa dini sana (ONE OF JEHOVAS WITNESSES).

Baba ni mstaafu wa Bandari na mama yake pia nistaafu wa shirika la Bima, Ana dada zake 3 mmoja ni PR Wa PPF SARAH Kibonde

Baada ya kuönekana hafundishiki na wazazi wake waliamua kumuacha afunze na ulimwengu ndipo alipoukwaa very bad enough akaambukiza mama na mtoto alivyoona mambo ni magumu akawarudia wazazi na wazee wa kanisa akatubu na batizwa huku akitumia RVs

Baada ya kuona RVs zimefanya kazi akamuwa kurudi kule alitoka Pombe, madem, nafikiri atakuwa suspended na kanisa sasa.

Asiyefunzwa na ***** ufunzwa na ulimwengu
 
Hapo c mchezo d mbili? na nyingine kafeli? Nawashauri mnaozaa kimwili tafuteni majina mazuri kwa watoto wenu vinginevyo wataishi kulingana na majina muwapayo!
 
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde

"D" mbili tu, duuuu! Yani na makelele yoote hayo kumbe kichwani maji!
 
Yaleteni basi hayo matokeo humu ndani!! Hilo litakuwa fundisho na kwa wengine!

wabongo bwana kutofanya vizuri academics sio kwamba hana kitu kichwani. Mfumo wetu wa elimu uko one sided ndio maana wanashindwa wengi.
kuna watu wana vipaji tofuti vimeshindwa k kuibuliwa sababu ya kasumba ya physics , hesabu na history.

Life is not about all about academics.

Kuna watu wanaishi kwa kupiga kasia tu ulaya hata ukimuuliza archemedes principle hajui.

Hapo jirani kenya kuna wakimbiaji ukisikia wanhojiwa kingereza unajua kuwa hata hicho wanachoongea wamejifunza juzi juzi.

Inawezekana kweli kibonde hakufanya vizuri but tusisababishe tufanye kila mtu atake kwenda chuo kikuu ndio ajisikie kuwa ni mtanzania .

Nchi haiwezi kuendeshwa na wavaa tai tu na mainjinia. Tuache kuweka siasa na unafiki

Mkosoeni kibonde kwa hoja zake
 
Nimeidaka kule kwenye facebook

icon1.png
Uchaguzi 2010: Kibonde usijifanye kujua kila kitu, tafuta wataalamu wakusaidie

Katika kipindi cha Jahazi cha tar 31/8/2010 mtangazaji Kibonde amejifanya kuwa mtetezi wa JK na CCM kwa kuliponda pingamizi ya Dr Slaa na CHADEMA kuhusu JK kukiuka Sheria ya Gharama za Uchaguzi.

Kwa bahati mbaya sana katika kutekeleza jukumu hilo Kibonde alizidi kudhihirisha umbumbumbu wake hadharani pale alipodai kuwa "Rais anayo mamlaka ya kuagiza matumizi ya fedha za Serikali atakavyo"

Kwa maoni yangu Kibonde ana ufahamu mdogo sana wa kitu kinachoitwa Separation of Powers between the State (Serikali), Legislature (Bunge) and Judiciary (Mahakama). Hajo ya CHADEMA katika sakata hili ni mgombea wa CCM Jakaya Kikwete na Serikali yake ni kufanya matumizi ya fedha za umma kwa kukiuka Kanuni na Taratibu za Fedha za Serikali. Kwa mujibu wa Katiba Bunge ndio lenye jukumu la kuidhinisha makusanyo na matumizi ya fedha za Serikali.

Kutokea mawaka 2006 TUCTA iliwasilisha madai ya nyongeza za mishahara kwa watumishi wa Serikali kufikia kima cha chini cha Shs 315,000/=.

Kutokea mwaka 2006 JK na Serikali yake hawakuchukua hatua zozote kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa maana ya kupeleka ombi kwa bunge la kufanya matumizi ya ya ziada katika kulipa mishahara ya watumishi. Hivyo Bunge la 2006, 2007, 2008, 2009 na hata la 2010 Kikwete na Serikali yake walishindwa kuwasilisha ombi hilo.

Wakati Serikali ya JK ilishindwa kuwasilisha ombi la kuongeza mishahara ya watumishi wake wanyoinge. Inadaiwa katika kipindi hicho iliwaongezea mishahara na marupurupu za viongozi waandamizi wa Serikali wakiwemo Wabunge, Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Vyombo vya Usalama, Majaji n.k na pia kulipa malimbikizo ya nyongeza hiyo. Kama tutakumbuka vizuri wabunge wenye jukumu la kupitisha matumizi ya Serikali walipoona vigogo wenzao Serikalini wamejiongezea mishahara na marupurupu; wabunge nao wakawasilisha mapendekezo ya kuongezewa mishahara na marpurupu na wakapata.

Ni kwanini CCM , Kikwete na Serikali yake waliamua kuwadharau wafanyakazi kwa miaka minnne kutoka mwaka 2006, na kuendelea kuwadharau hata pale walipotishia kugoma mwi 2010? Jibu walifanya hivyo kwa kuwa walijua TUCTA inaongea peke yake, haina asasi ingine ya kuisaidia hivyo Serikali itaweze kutumia vitisho kuzima jeuri ya TUCTA na Mgaya.

Kuteuliwa kwa Dr Slaa kuwa mgombea Urais wa CHADEMA kulikuja kama mshituko kwa CCM JK na watanzania walio wengi. Na hoja yake ya kwanza wakati anafanya mikutano ya kutafuta wadhamini katika mikoa mbali mbali ilikuwa kutamka wazi wazi kuwa anazihitaji kura za wafanyakazi zilizokataliwa na mgombea wa CCM Jakaya Kikwete katika mkutano wake na wazee wa Dar es Salam Mei 2010, na akachapisha fulana zenye ujumbe huo.

TUCTA ilipoona imepata msemaji wa kusaidiana naye katika kudai haki za wafanyakazi zilizokuwa zikipigwa danadana kutokea 2006, haikubweteka ikatoa tamko kwa wanachama wake kuwa wampatie kura mgombea anayeonyesha kuhitaji kura za wafanyakazi, kwa kuwa haiwezekani "ukampatia pilau mtu asiyeihitaji".

Ni kutokana na pressure hizi za kuanza kwa Kampeni za uchaguzi Mkuu wa 2010 CCM, Kikwete na Serikali yake wakasalimu amri na kutoa nyongeza ya mishahara kutoka Shs 135,000/= kufika Shs 235,000/= kimya kimya. TUCTA, CHADEMA na wadau wengine wakataka kufahamishwa ni nini kinaendelea ndipo Rais akajitokeza katika mikutano ya Kampeni za CCM mkoani Mwanza kudai kuwa Serikali yake inawajali sana wafanyakazi na tayari imewaongezea mishahara.

Sasa Kibonde atuambie katika mtirirko huu wa matukio, ni kweli CCM ya leo na JK wanawajali wafanyakazi? Walikuwa wapi kwa miaka minne kuwapatia wafanyakazi nyongeza hiyo?

Hoja kubwa ya Dr Slaa na CHADEMA sio wafanyakazi kuongezewa mishahara, bali wafanyakzi kutumika kama busati la kusafisha miguu na kukumbukwa baada ua upepo wa kisiasa kuwa mbaya kwa CCM na mgombea wake Jakaya Kikwete. Tujiulize kwa mtirirko uliotajwa hapo juu, iwapo vyama vya siasa vingesimamisha watu wasio makini kama Dr Slaa katika nafasi ya Urais, nyongeza ya mishahara iliyokuwa ikipigwa danadana kwa miaka minne kutoka 2006 na iliyotolewa wakati wa kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu ingepatikana?

Sambamba na hilo Dr Slaa na CHADEMA wanahaji kitendo cha Rais na Serikali yake kukikuka Kanuni na Taratibu za Fedha za Serikali. Ni ukiukwaji huu uliosababisha kuwepo kwa Kashafa ya EPA, Meremeta, Tangold, n.k.

Naomba wana JF wanaofahamu mipaka ya Rais kuagiza matumizi ya fedha za umma wakati usiokuwa wa dharura (emergency) bila ya kupata idhini ya bunge watusaidie kumhabarisha Kibonde kupitia hapa
 
wabongo bwana kutofanya vizuri academics sio kwamba hana kitu kichwani. Mfumo wetu wa elimu uko one sided ndio maana wanashindwa wengi.
kuna watu wana vipaji tofuti vimeshindwa k kuibuliwa sababu ya kasumba ya physics , hesabu na history.

Life is not about all about academics.

Kuna watu wanaishi kwa kupiga kasia tu ulaya hata ukimuuliza archemedes principle hajui.

Hapo jirani kenya kuna wakimbiaji ukisikia wanhojiwa kingereza unajua kuwa hata hicho wanachoongea wamejifunza juzi juzi.

Inawezekana kweli kibonde hakufanya vizuri but tusisababishe tufanye kila mtu atake kwenda chuo kikuu ndio ajisikie kuwa ni mtanzania .

Nchi haiwezi kuendeshwa na wavaa tai tu na mainjinia. Tuache kuweka siasa na unafiki

Mkosoeni kibonde kwa hoja zake

usifananishe watu wa ulaya na kwetu ndugu....huko ulaya OPPORTUNITIES zipo kibao hata kwa wasioenda shule...hapa kwetu shule is a MUST....bado tuko kny nchi ya tatu,usifananishe tui la nazi na maziwa ndugu!
 
wabongo bwana kutofanya vizuri academics sio kwamba hana kitu kichwani. Mfumo wetu wa elimu uko one sided ndio maana wanashindwa wengi.
kuna watu wana vipaji tofuti vimeshindwa k kuibuliwa sababu ya kasumba ya physics , hesabu na history.

Life is not about all about academics.

Kuna watu wanaishi kwa kupiga kasia tu ulaya hata ukimuuliza archemedes principle hajui.

Hapo jirani kenya kuna wakimbiaji ukisikia wanhojiwa kingereza unajua kuwa hata hicho wanachoongea wamejifunza juzi juzi.

Inawezekana kweli kibonde hakufanya vizuri but tusisababishe tufanye kila mtu atake kwenda chuo kikuu ndio ajisikie kuwa ni mtanzania .

Nchi haiwezi kuendeshwa na wavaa tai tu na mainjinia. Tuache kuweka siasa na unafiki

Mkosoeni kibonde kwa hoja zake

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...-kila-kitu-tafuta-wataalamu-wakusaidie-9.html
 
Inawezekana elimu ya uraia na upishi ndio fani anayoweza!
Nasikia alipata D ya Civics na nutrition tu,nyingine zote F.
Watoto wa siku hizi wanasema alitaga!!
 
Kweli shule ni must lakini sio kuwabeza kihivyo ambao hawakufanya vizuri. Sasa unashangaaa kwa nini kila mtu anataka kuitwa dr lakini hakuna output akipewa kazi.

Na sijatoa mfano wa ulaya tu nimetoa na mfano wa kenya riadha. Mimi nimefanya kazi nimeona hii kasumba inawafanya watu wasie na raha hataya kazizaosababu tujamiii inawaonanikazi za watu waliofeli. Kuna watu nimefanya nao kazi za kifundi wanaogopa kuonekanawamevaaoverall Dah.Kasumba hiy hiyo kila chuo kinatakakuwa chuo kikuu sababu wanafunzi wa Dar tec an IFM .
Midde class work force ni miimu tena ya hayo tunaowaitafaiulre wawe wa form for ar sixNarudia hakuna nchi inayojengwa na wavaa tai na maingeener tu iwe iliyoendelea au inayoendeleaaa.Infact hoja yangu ni kuwakiobonde ana udhaifu wake lakini hata hao wasomi wa UDSM nao upeo wao unatia mashaka.But kwa kuwa ni wanafunzi hizo ni reaction za kawaida.

darwin said:

Hizi ndio hoja. . Sikubalini na hoja nyingi za kibonde but napinga mtu akimwaga mboga eti na wewe unamwaga ugali. Mambo ya visasi
 
nahisi kibonde akiondoka hio redio ratings zake itashuka na pengine kufa,haya madudu yake ndio yanayoipa chati hio redio:twitch:

Kweli kabisa kama vile alivyo anza Howard Stern , madudu aliyo anza nayo kwnye radio yalimpandisha charti kinoma . Sasa hivi kilamtu ana mjua Kibonde.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom