Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso.
Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea morali wachezaji.
Matokeo chanya tunayo yaona sasa kwenye mchezo wa kabumbu, ni uwekezaji wa maksudi alioufanya rais SSH.