Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,682
- 8,809
Dispensaries , sijui vituo vya afya , zahati .. CO ndio wakubwa huko , ndio madaktari hukoKuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.
#MaendeleoHayanaChama
Clinical officer n mhitimu anachosomea ni Clinical Medicine
Wa degree anasomea hiyo hiyo Clinical Medicine
MBBS anasomea hiyo hiyo Clinical Medicine + minor surgery