JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 1,890
- 1,126
Hatimaye Mungu amejibu maombi ya watanzania! Thanks God.Ndiye rais wa Tanzania sasa kwa kihindi cha miaka mitano (2015-2020)
Hatimaye Mungu amejibu maombi ya watanzania! Thanks God.Ndiye rais wa Tanzania sasa kwa kihindi cha miaka mitano (2015-2020)
UleeeeeeeeeHatimaye Mungu amejibu maombi ya watanzania! Thanks God.
Asanteni Watanzania kwa maamuzi sahihi.
Rais wa awamu ya Tano wa JMT ni Dr.John Pombe Magufuli
Laiti Viongozi wa Tanzania wangekuwa na utamaduni wa kuandika vitabu....jaji ana mengi sana kichwani anapaswa kuyaweka katika maandishi.
kweli kabisa mkuu mimi hainiingii akilini sehemu walizopiga goli la mkono wametangaza mapema sehemu walizoshindwa wanasuasua kutangaza hadi sasa tangu saa 3 tume hawaonekani ukumbini