Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
11,882
Points
1,250

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
11,882 1,250
Sina shaka vikwazo vya bajet viko wazi sasa toka Umoja wa nchi za Ulaya na Marekani, waliangalisha hayo uchaguzi mkuu uliopita Mwenyekiti wa NEC hayati nani sijui, lakini CCM imerudia makosa yaleyale, tutaficha wapi nyuso zetu. Tulikozoea kujipitisha kuchekacheka na kupitisha bakuli la ombaomba?
 

zita kahabi

Member
Joined
Sep 23, 2015
Messages
37
Points
0

zita kahabi

Member
Joined Sep 23, 2015
37 0
Nijuzeni jamani kinjekitile ngombalemwiru yu wapi leo ?????hali yake vipi.????atakuwa anakimbia kivuli chake.alisema ccm imekufa.imeishiwa pumzi.kizee wewe aibu imekukumba kashauri ng'ombe monduli.unajidai huna dini....huo ushetani sio dini.ccm imekulea hadi meno yamekwisha kumudomo leo ya aje.unalo babuuuuu.ulibebe sd.ccm mbele kwa mbele tuuuuu.
 

monges

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
1,039
Points
1,500

monges

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2015
1,039 1,500
Eewaaa sawa kabisa.

Hata angeshinda Fahmi Dovutwa ingekuwa hivyo hivyo tu.

Kwa hiyo, haijalishi nani katangazwa mshindi na nani kashindwa.

Kwa mazingira haya ya sasa, hakuna uchaguzi ulio wa huru, haki, na wazi, mwanzo mwisho.
Uchaguzi ulikuwa huru na haki, Lowasa kashindwa kwelikweli, hata yy anajua hilo ila kwa sababu ni mzee wa dili alidhani kuwa ataupata kwa dili, leo anasema tume si huru mbona na yy alikuweko huko, sasa na yy asikie uchungu wa kushindwa kama wengine, na mbona wabunge wa ukawa walopata ubunge -wamesaini kupokea matokeo?
 

Ole

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2006
Messages
1,511
Points
2,000

Ole

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2006
1,511 2,000
Lowasa ameshindwa uchaguzi fair and square kwa sababu hakuweza kusafishwa kwa mwezi moja baada ya kukatwa CCM. Alikatwa kwa sababu Watanzania bado wana uchungu na ule ufisadi wake wa Richmonduli. Achilia mbali kushindwa kujibu tuhuma za mwalimu kwamba yeye ni fisadi ambaye amejipatia utajiri kwa njia zisizo julikana. Hivyo basi wengi tulipiga kona baada ya Mbowe kutuuzia Lowasa na kumtosa Slaa.
 

dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
10,458
Points
2,000

dolevaby

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2013
10,458 2,000
Lowasa ameshindwa uchaguzi fair and square kwa sababu hakuweza kusafishwa kwa mwezi moja baada ya kukatwa CCM. Alikatwa kwa sababu Watanzania bado wana uchungu na ule ufisadi wake wa Richmonduli. Achilia mbali kushindwa kujibu tuhuma za mwalimu kwamba yeye ni fisadi ambaye amejipatia utajiri kwa njia zisizo julikana. Hivyo basi wengi tulipiga kona baada ya Mbowe kutuuzia Lowasa na kumtosa Slaa.
Kitu ambacho wanafanikiwa CCM ni jinsi wanavyofanikiwa kukaririsha Bongolala kama wewe hivi Umewahi kujiuliza khs ESCROW watu walipokuwa wanagawana Pesa kwenye Viroba Stanbic
 

Forum statistics

Threads 1,382,503
Members 526,392
Posts 33,830,134
Top