CCM ina kiporo cha makovu ya kumkata Lowassa 2015, walioimba wana imani naye bado wana nguvu kubwa kwenye chama

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,116
Baada ya Kukatwa Lowassa akajiendea zake CHADEMA.

Baada ya Uchaguzi Rostam akamrejesha CCM na kumkabidhi kwa Shujaa Magufuli na Komredi Polepole.

Shujaa Magufuli Ndiye aliyefungua kiwanda cha Taifa Gas cha Aziz kule Kigamboni ambayo sasa Wabunge wa CCM, Chadema na ACT wazalendo wanasambaza Mitungi nchi nzima.

Ikadaiwa pia Aziz ambaye ni rafiki mkubwa wa Edward anatamani kujenga Bandari Kavu Mlandizi.

Kabla ya Kufa Kwake Shujaa Magufuli akamuomba Rostam Aziz agombee ubunge Jimbo la Morogoro Mjini.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Back
Top Bottom