Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015


kavulata

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
4,229
Likes
2,331
Points
280
Age
52
kavulata

kavulata

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
4,229 2,331 280
Katika matokeo ya Tume, Mh. Rais Magufuli alipata kura 58.46% na Lowassa kura 39.97%, wewe unaweza kutoa tafsiri gani?
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
9,976
Likes
10,428
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
9,976 10,428 280
Duh haya matokeo mpaka leo yananiacha hoi Yaani NEC bhana majimbo 80% ambayo yametoa wabunge wa upinzani alishinda magufuli kwenye urais!!! Duh kuna maswali yanakosa majibu kabisa
 
M

mrisho farahani

Member
Joined
Jul 22, 2018
Messages
5
Likes
3
Points
5
M

mrisho farahani

Member
Joined Jul 22, 2018
5 3 5
Magufuli 58.46
Lowasa 39.97
Bak -18.49
Aaaaah wamekaaa mapema tu watuache tuamue polisi wakae pemben tu kiroho safi
 
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Messages
9,039
Likes
14,164
Points
280
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2015
9,039 14,164 280
Bila wizi wa hii tume kwa kushirikiana na ccm na police basi leo ungekuta ccm inaitwa chama cha upinzani
 

Forum statistics

Threads 1,235,268
Members 474,471
Posts 29,216,243