Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

JamiiForums

Official Robot
Joined
Nov 9, 2006
Messages
5,296
Points
2,000

JamiiForums

Official Robot
Joined Nov 9, 2006
5,296 2,000
Wakuu,

Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yalivyotangazwa.

Fuatilia uzi huu kwa updates zaidi. VIDEO na PICHA zote zitawekwa HAPA

======================
Oktoba 26, 2015 - Saa 4 asubuhi:

Jimbo la Makunduchi:

Magufuli (CCM): 8,406
Lowassa (CHADEMA): 1,769

Jimbo la Paje:

Magufuli (CCM): 6,035
Lowassa (CHADEMA): 1,899

Jimbo la Lulindi:

Magufuli (CCM): 31,603
Lowassa (CHADEMA): 11,543

October 26, 2015 - Saa 11 Jioni

Jimbo la Mkoani:

Magufuli (CCM): 3341
Lowassa (CHADEMA): 7368

Jimbo la Ndanda:

Magufuli (CCM): 33699
Lowassa (CHADEMA): 19017

Jimbo la Kiwengwa:

Magufuli (CCM): 3317
Lowassa (CHADEMA): 1104

Jimbo la Nsimbo:

Magufuli (CCM): 31413
Lowassa (CHADEMA): 6042

Jimbo la Mtambile:

Magufuli (CCM): 902
Lowassa (CHADEMA): 5875

Jimbo la Donge:

Magufuli (CCM): 5592
Lowassa (CHADEMA): 1019

Jimbo la Kiwani:

Magufuli (CCM): 1661
Lowassa (CHADEMA): 4229

Jimbo la Chambani:

Magufuli (CCM): 818
Lowassa (CHADEMA): 5319

Jimbo la Kibaha Mjini:

Magufuli (CCM): 34604
Lowassa (CHADEMA): 25448

Jimbo la Bumbuli:

Magufuli (CCM): 35310
Lowassa (CHADEMA): 7928

October 26, 2015 - Saa 2 Usiku

Jimbo la Gando:

Magufuli (CCM): 881
Lowassa (CHADEMA): 5903

Jimbo la Kisarawe:

Magufuli (CCM): 24086
Lowassa (CHADEMA): 13093

Jimbo la Kojani:

Magufuli (CCM): 1561
Lowassa (CHADEMA): 9982

Jimbo la Mbinga Mjini:

Magufuli (CCM): 29295
Lowassa (CHADEMA): 11695

Jimbo la Mgogoni:

Magufuli (CCM): 710
Lowassa (CHADEMA): 6506

Jimbo la Mkinga:

Magufuli (CCM): 23798
Lowassa (CHADEMA): 15142

Jimbo la Moshi Mjini:

Magufuli (CCM): 28909
Lowassa (CHADEMA): 49379

Jimbo la Mtambwe:

Magufuli (CCM): 428
Lowassa (CHADEMA): 6937

Jimbo la Nanyamba:

Magufuli (CCM): 24904
Lowassa (CHADEMA): 16992

Jimbo la Peramiho:

Magufuli (CCM): 32505
Lowassa (CHADEMA): 11291

Jimbo la Wete:

Magufuli (CCM): 958
Lowassa (CHADEMA): 5119


October 27, 2015

Jimbo la Siha:

Magufuli (CCM): 18252
Lowassa (CHADEMA): 22572

Jimbo la Newala Mjini:

Magufuli (CCM): 21269
Lowassa (CHADEMA): 16980

Jimbo la Monduli:

Magufuli (CCM): 11355
Lowassa (CHADEMA): 49675

Jimbo la Madaba:

Magufuli (CCM): 13949
Lowassa (CHADEMA): 4735

Jimbo la Lupembe:

Magufuli (CCM): 23061
Lowassa (CHADEMA): 7466

Jimbo la Kwahani:

Magufuli (CCM): 6245
Lowassa (CHADEMA): 2689

Jimbo la Kilindi:

Magufuli (CCM): 33942
Lowassa (CHADEMA): 12123

Jimbo la Kijini:

Magufuli (CCM): 2703
Lowassa (CHADEMA): 3551

Jimbo la Ileje:

Magufuli (CCM): 26368
Lowassa (CHADEMA): 15651

Jimbo la Masasi Mjini:

Magufuli (CCM): 24637
Lowassa (CHADEMA): 16778

Jimbo la Mbeya Vijijini:

Magufuli (CCM): 62662
Lowassa (CHADEMA): 47038

Jimbo la Wawi:

Magufuli (CCM): 1748
Lowassa (CHADEMA): 5216

Jimbo la Ulanga:

Magufuli (CCM): 32297
Lowassa (CHADEMA): 20489

Jimbo la Mkwajuni:

Magufuli (CCM): 4686
Lowassa (CHADEMA): 3314

Jimbo la Momba:

Magufuli (CCM): 28978
Lowassa (CHADEMA): 24418

Jimbo la Mwanga:

Magufuli (CCM): 25738
Lowassa (CHADEMA): 15148

Jimbo la Solwa:

Magufuli (CCM): 66096
Lowassa (CHADEMA): 23510

Jimbo la Newala Vijijini:

Magufuli (CCM): 29799
Lowassa (CHADEMA): 13958

Jimbo la Igalula:

Magufuli (CCM): 28747
Lowassa (CHADEMA): 8593

Jimbo la Namtumbo:

Magufuli (CCM): 44061
Lowassa (CHADEMA): 23039

Jimbo la Tandahimba:

Magufuli (CCM): 49098
Lowassa (CHADEMA): 46288

Jimbo la Mpendae:

Magufuli (CCM): 4192
Lowassa (CHADEMA): 4048

Jimbo la Tumbatu:

Magufuli (CCM): 5720
Lowassa (CHADEMA): 3967

Jimbo la Korogwe Mjini:

Magufuli (CCM): 17168
Lowassa (CHADEMA): 9034

Jimbo la Chalinze:

Magufuli (CCM): 52212
Lowassa (CHADEMA): 21380

Jimbo la Chonga:

Magufuli (CCM): 1740
Lowassa (CHADEMA): 3800

Jimbo la Chumbuni:

Magufuli (CCM): 5096
Lowassa (CHADEMA): 4450

Jimbo la Ruangwa:

Magufuli (CCM): 34516
Lowassa (CHADEMA): 26827

Jimbo la Ole:

Magufuli (CCM): 681
Lowassa (CHADEMA): 5251

Jimbo la Jang'ombe:

Magufuli (CCM): 6567
Lowassa (CHADEMA): 2839

Jimbo la Ziwani:

Magufuli (CCM): 592
Lowassa (CHADEMA): 6067

Jimbo la Malindi:

Magufuli (CCM): 2581
Lowassa (CHADEMA): 5662


October 27, 2015 - Jioni

Jimbo la Mwanakwerekwe:

Magufuli (CCM): 4206
Lowassa (CHADEMA): 4606

Jimbo la Mwera:

Magufuli (CCM): 6430
Lowassa (CHADEMA): 5865

Jimbo la Nachingwea:

Magufuli (CCM): 46485
Lowassa (CHADEMA): 30252

Jimbo la Nkasi Kaskazini:

Magufuli (CCM): 25837
Lowassa (CHADEMA): 19891

Jimbo la Mchinga:

Magufuli (CCM): 13948
Lowassa (CHADEMA): 12936

Jimbo la Nungwi:

Magufuli (CCM): 4135
Lowassa (CHADEMA): 4853

Jimbo la Arusha Mjini:

Magufuli (CCM): 65107
Lowassa (CHADEMA): 150786

Jimbo la Magomeni:

Magufuli (CCM): 5716
Lowassa (CHADEMA): 3711

Jimbo la Shaurimoyo:

Magufuli (CCM): 5849
Lowassa (CHADEMA): 3731

Jimbo la Tunguu:

Magufuli (CCM): 8519
Lowassa (CHADEMA): 2923

Jimbo la Amani:

Magufuli (CCM): 4322
Lowassa (CHADEMA): 3157

Jimbo la Biharamulo:

Magufuli (CCM): 44943
Lowassa (CHADEMA): 28576

Jimbo la Bumbwini:

Magufuli (CCM): 2503
Lowassa (CHADEMA): 2822

Jimbo la Chwaka:

Magufuli (CCM): 6537
Lowassa (CHADEMA): 1864

Jimbo la Kibaha Vijijini:

Magufuli (CCM): 20805
Lowassa (CHADEMA): 11344

Jimbo la Mafia:

Magufuli (CCM): 11153
Lowassa (CHADEMA): 9363

Jimbo la Nkenge:

Magufuli (CCM): 42568
Lowassa (CHADEMA): 25840

Jimbo la Uzini:

Magufuli (CCM): 10879
Lowassa (CHADEMA): 1624

**** Nec walisahihisha matokeo waliyotoa awali kwenye jimbo la Uzini

Jimbo la Mkuranga:

Magufuli (CCM): 45710
Lowassa (CHADEMA): 36478

Jimbo la Mtama:

Magufuli (CCM): 29625
Lowassa (CHADEMA): 20841

Jimbo la Chake Chake:

Magufuli (CCM): 1253
Lowassa (CHADEMA): 5209

Jimbo la Fuoni:

Magufuli (CCM): 956
Lowassa (CHADEMA): 420

Jimbo la Kikwajuni:

Magufuli (CCM): 6317
Lowassa (CHADEMA): 3669

Jimbo la Mpanda Vijijini:

Magufuli (CCM): 37321
Lowassa (CHADEMA): 12791

Jimbo la Welezo:

Magufuli (CCM): 2615
Lowassa (CHADEMA): 2582


October 27, 2015 - Saa 2 Usiku

Jimbo la Urambo Mashariki:

Magufuli (CCM): 36458
Lowassa (CHADEMA): 22385

Jimbo la Dimani:


Magufuli (CCM): 5292
Lowassa (CHADEMA): 1861

Jimbo la Kaliua:

Magufuli (CCM): 28599
Lowassa (CHADEMA): 19724

Jimbo la Kiteto:

Magufuli (CCM): 41862
Lowassa (CHADEMA): 31268

Jimbo la Korogwe Vijijini:

Magufuli (CCM): 51984
Lowassa (CHADEMA): 19050

Jimbo la Longido:

Magufuli (CCM): 14621
Lowassa (CHADEMA): 25361

Jimbo la Mononga:

Magufuli (CCM): 32013
Lowassa (CHADEMA): 14343

Jimbo la Arumeru Magharibi:

Magufuli (CCM): 27658
Lowassa (CHADEMA): 105720

Jimbo la Babati Vijijini:

Magufuli (CCM): 67183
Lowassa (CHADEMA): 42334

Jimbo la Chaani:

Magufuli (CCM): 4689
Lowassa (CHADEMA): 2585

Jimbo la Igunga:

Magufuli (CCM): 36796
Lowassa (CHADEMA): 18600

Jimbo la Kijitoupele:

Magufuli (CCM): 8075
Lowassa (CHADEMA): 5639

Jimbo la Kondoa Mjini:

Magufuli (CCM): 15113
Lowassa (CHADEMA): 7102

Jimbo la Kyela:

Magufuli (CCM): 44451
Lowassa (CHADEMA): 37563

Jimbo la Mahonda:

Magufuli (CCM): 4760
Lowassa (CHADEMA): 1449

Jimbo la Bukene:

Magufuli (CCM): 36229
Lowassa (CHADEMA): 11380

Jimbo la Manyoni Magharibi:

Magufuli (CCM): 24675
Lowassa (CHADEMA): 9901

Jimbo la Mfenesini:

Magufuli (CCM): 4496
Lowassa (CHADEMA): 3047

Jimbo la Rungwe:

Magufuli (CCM): 47862
Lowassa (CHADEMA): 41534

Jimbo la Sikonge:

Magufuli (CCM): 36729
Lowassa (CHADEMA): 16164

Jimbo la Ukerewe:

Magufuli (CCM): 55091
Lowassa (CHADEMA): 47667

Jimbo la Ulyankulu:

Magufuli (CCM): 35329
Lowassa (CHADEMA): 7568

Jimbo la Mpwapwa:

Magufuli (CCM): 37480
Lowassa (CHADEMA): 8230


Jimbo la Nzega:

Magufuli (CCM): 18843
Lowassa (CHADEMA): 10195


Jimbo la Pangani:

Magufuli (CCM): 14041
Lowassa (CHADEMA): 10151

October 28, 2015 - Asubuhi

Jimbo la Chato:

Magufuli (CCM): 83820
Lowassa (CHADEMA): 27936

Jimbo la Tarime Mjini:

Magufuli (CCM): 18009
Lowassa (CHADEMA): 15992

Jimbo la Lupa:

Magufuli (CCM): 37684
Lowassa (CHADEMA): 20175

Jimbo la Lushoto:

Magufuli (CCM): 28058
Lowassa (CHADEMA): 8673

Jimbo la Magu:

Magufuli (CCM): 69961
Lowassa (CHADEMA): 30070

Jimbo la Mbarali:

Magufuli (CCM): 55933
Lowassa (CHADEMA): 45374

Jimbo la Mbinga Vijijini:

Magufuli (CCM): 55985
Lowassa (CHADEMA): 12213

Jimbo la Mbogwe:

Magufuli (CCM): 44558
Lowassa (CHADEMA): 12040

Jimbo la Shinyanga Mjini:

Magufuli (CCM): 41692
Lowassa (CHADEMA): 25465

Jimbo la Liwale:

Magufuli (CCM): 19967
Lowassa (CHADEMA): 23176

Jimbo la Royra:

Magufuli (CCM): 54892
Lowassa (CHADEMA): 36569

Jimbo la Same Mashariki:

Magufuli (CCM): 18520
Lowassa (CHADEMA): 17874

Jimbo la Sengerema:

Magufuli (CCM): 69392
Lowassa (CHADEMA): 28335

Jimbo la Busanda:

Magufuli (CCM): 73834
Lowassa (CHADEMA): 35373

Jimbo la Sumbawanga Mjini:

Magufuli (CCM): 43542
Lowassa (CHADEMA): 34201

Jimbo la Tunduma:

Magufuli (CCM): 19446
Lowassa (CHADEMA): 32219

Jimbo la Ushietu:

Magufuli (CCM): 51034
Lowassa (CHADEMA): 21585

Jimbo la Ludewa:

Magufuli (CCM): 35364
Lowassa (CHADEMA): 11715

Jimbo la Bagamoyo:

Magufuli (CCM): 29969
Lowassa (CHADEMA): 16245

Jimbo la Bahi:

Magufuli (CCM): 51138
Lowassa (CHADEMA): 11340

Jimbo la Bukoba Mjini:

Magufuli (CCM): 27620
Lowassa (CHADEMA): 25898

Jimbo la Bukombe:

Magufuli (CCM): 50063
Lowassa (CHADEMA): 28106

Jimbo la Rombo:

Magufuli (CCM): 21908
Lowassa (CHADEMA): 57715

Jimbo la Kalenga:

Magufuli (CCM): 40896
Lowassa (CHADEMA): 16890

Jimbo la Mlalo:

Magufuli (CCM): 33996
Lowassa (CHADEMA): 8938

Jimbo la Tanga Mjini:

Magufuli (CCM): 65340
Lowassa (CHADEMA): 56939

Jimbo la Sumve:

Magufuli (CCM): 32079
Lowassa (CHADEMA): 11203

Jimbo la Nyasa:

Magufuli (CCM): 30609
Lowassa (CHADEMA): 14062

Jimbo la Musoma Mjini:

Magufuli (CCM): 33658
Lowassa (CHADEMA): 25352

Jimbo la Mufindi Kaskazini:

Magufuli (CCM): 26412
Lowassa (CHADEMA): 8085

Jimbo la Mtwara Vijijini:

Magufuli (CCM): 25938
Lowassa (CHADEMA): 24518

Jimbo la Msalala:

Magufuli (CCM): 44213
Lowassa (CHADEMA): 16942

Jimbo la Mpanda Mjini:

Magufuli (CCM): 32770
Lowassa (CHADEMA): 16569

Jimbo la Moshi Vijijini:

Magufuli (CCM): 25017
Lowassa (CHADEMA): 54823

Jimbo la Muumba:

Magufuli (CCM): 39555
Lowassa (CHADEMA): 35994

Jimbo la Mikumi:


Magufuli (CCM): 35192
Lowassa (CHADEMA): 26841

Jimbo la Kasulu Mjini:

Magufuli (CCM): 32297
Lowassa (CHADEMA): 15762

Jimbo la Kavuu:

Magufuli (CCM): 21483
Lowassa (CHADEMA): 8083

Jimbo la Kilolo:

Magufuli (CCM): 52517
Lowassa (CHADEMA): 25424

Jimbo la Kilombero:

Magufuli (CCM): 49478
Lowassa (CHADEMA): 49166

Jimbo la Kilosa:

Magufuli (CCM): 55839
Lowassa (CHADEMA): 24276

Jimbo la Kishapu:

Magufuli (CCM): 65173
Lowassa (CHADEMA): 17177

Jimbo la Kwimba:

Magufuli (CCM): 40544
Lowassa (CHADEMA):10071

Jimbo la Busega:

Magufuli (CCM): 47049
Lowassa (CHADEMA): 19765

Jimbo la Kalambo:

Magufuli (CCM): 38165
Lowassa (CHADEMA): 29501

Jimbo la Kahama Mjini:

Magufuli (CCM): 58728
Lowassa (CHADEMA): 27501

Jimbo la Ismani:

Magufuli (CCM): 26766
Lowassa (CHADEMA): 15303

Jimbo la Iringa Mjini:

Magufuli (CCM): 36584
Lowassa (CHADEMA): 38860

Jimbo la Hai:


Magufuli (CCM): 29341
Lowassa (CHADEMA): 49125

Jimbo la Geita:

Magufuli (CCM): 45472
Lowassa (CHADEMA): 18640

Jimbo la Gairo:

Magufuli (CCM): 44659
Lowassa (CHADEMA): 6525


October 28, 2015 - Saa 10 Jioni:


Jimbo la Morogoro Mjini:

Magufuli (CCM): 85440
Lowassa (CHADEMA): 65580

Jimbo la Mtwara Mjini:

Magufuli (CCM): 25828
Lowassa (CHADEMA): 30195

Jimbo la Arumeru Mashariki:

Magufuli (CCM): 31040
Lowassa (CHADEMA): 88912

Jimbo la Bariadi:

Magufuli (CCM): 85813
Lowassa (CHADEMA): 57922

Jimbo la Bububu

Magufuli (CCM): 10026
Lowassa (CHADEMA): 7332

Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki:

Magufuli (CCM): 30624
Lowassa (CHADEMA): 13304

Jimbo la Muheza:


Magufuli (CCM): 53237
Lowassa (CHADEMA): 22635

Jimbo la Nyamagana:

Magufuli (CCM): 99890
Lowassa (CHADEMA): 78329

Jimbo la Kilwa Kusini:

Magufuli (CCM): 18767
Lowassa (CHADEMA): 22377

Jimbo la Kigamboni:

Magufuli (CCM): 35735
Lowassa (CHADEMA): 39754

Jimbo la Kibakwe:

Magufuli (CCM): 36830
Lowassa (CHADEMA): 8018

Jimbo la Ilala:

Magufuli (CCM): 37329
Lowassa (CHADEMA): 36330

Jimbo la Geita Mjini:

Magufuli (CCM): 43576
Lowassa (CHADEMA): 25030

Jimbo la Chemba:

Magufuli (CCM): 51594
Lowassa (CHADEMA): 20800

Jimbo la Bukoba Vijijini:

Magufuli (CCM): 64839
Lowassa (CHADEMA): 32346


Jimbo la Buchosa:

Magufuli (CCM): 62762
Lowassa (CHADEMA): 31660

Jimbo la Dodoma Mjini:

Magufuli (CCM): 110634
Lowassa (CHADEMA): 53580

Jimbo la Morogoro Kusini

Magufuli (CCM): 35505
Lowassa (CHADEMA): 13586

Jimbo la Hanang:


Magufuli (CCM): 63250
Lowassa (CHADEMA): 32367

Jimbo la Karagwe:

Magufuli (CCM): 62159
Lowassa (CHADEMA): 41676

Jimbo la Kibiti:

Magufuli (CCM): 21142
Lowassa (CHADEMA): 18629

Jimbo la Kilwa Kaskazini:

Magufuli (CCM): 17553
Lowassa (CHADEMA): 14722

Jimbo la Kwela:

Magufuli (CCM): 49196
Lowassa (CHADEMA): 32980

Jimbo la Busokelo:

Magufuli (CCM): 18834
Lowassa (CHADEMA): 12596

Jimbo la Rufiji:

Magufuli (CCM): 21714
Lowassa (CHADEMA): 18308

Jimbo la Segerea:

Magufuli (CCM): 99168
Lowassa (CHADEMA): 119356

Jimbo la Songwe:

Magufuli (CCM): 30778
Lowassa (CHADEMA): 14738

Jimbo la Tabora Mjini:

Magufuli (CCM): 52609
Lowassa (CHADEMA): 30027

Jimbo la Temeke:

Magufuli (CCM): 106612
Lowassa (CHADEMA): 124276

Jimbo la Ubungo:

Magufuli (CCM): 71928
Lowassa (CHADEMA): 83637

Jimbo la Ukonga:

Magufuli (CCM): 86188
Lowassa (CHADEMA): 92145

Jimbo la Mbarali:

Magufuli (CCM): 55933
Lowassa (CHADEMA): 45374


========================================

Dr. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya 5 baada ya kuongoza kwa kupata kura 58.46%.Lubuva: Kwa kuwa mheshimiwa Dr. Magufuli, John Pombe Joseph wa CCM amepata kura nyingi zaidi kuliko mgombea mwingine yeyote, kwa niaba ya tume ya taifa ya uchaguzi na kwa mujibu wa vifungu vya 35(e), 35(f) na 81(b) vya sheria ya taifa ya uchaguzi sura 343.

Ninatangaza rasmi matokeo ya uchaguzi ya urais wa mwaka 2015 kwamba

  1. Mheshimiwa Magufuli John Pombe Joseph amechaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
  2. Mheshimiwa Samia Hassan Suluhu amechaguliwa kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Asanteni kwa kunisikiliza.
Matokeo ya Urais: DK. Magufuli atangazwa mshindi kwa asilimia 58.46

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, ( NEC), Jaji Mstaafu, Damian Lubuva, leo jioni amemtangaza mshindi wa kiti cha urais wa Tanzania wa mwaka 2015 kuwa ni Ndugu John Pombe Magufuli kutoka Chama cha Mapinduzi(CCM).

Matokeo hayo ya uchaguzi huo, yametangazwa leo ambapo mwenyekiti huyo amemtangaza Dk. Magufuli kama rais wa Serikali ya awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

Kabla ya kutangazwa kwa matokeo hayo, Jaji Mstaafu, Lubuva alisema kwa mujibu wa Ibara ya 41(6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mwaka 1977 mgombea wa kiti cha urais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa rais iwapo tu amepata kura nyingi kuliko mgombea mwingine yeyote.

Aidha Lubuva, amesema kwa mujibu wa ibara ya 47(2) ya Katiba hiyo, mgombea wa kiti cha urais akichaguliwa basi na mgombea mwenza wake atakuwa Makamu wa Rais.

?Kwa kuwa Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli wa CCM amepata kura yingi kuliko mgombea yeyote, kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kwa mujibu wa vifungu vya 35E, 35F (8) na 81 B vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura 343, ninatangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa urais wa 2015.

?Mheshimiwa Mheshimiwa John Pombe amechaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mheshimiwa Samia Hassan Suluhu amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,? alikaririwa na FikraPevu mwenyekiti huyo.

Aliongeza kuwa idadi ya wapigakura waliojiandikisha ni 23, 161, 440, waliopiga kura ni 15, 589, 639 sawa na asilimia 67.31 ya wapiga kura wote waliojiandikisha.

Alizitaja idadi ya kura halali kuwa ni kura halali 15, 193, 862 sawa 97.46% kura zilizokataliwa 402, 248 sawa 2.58% hivyo Magufuli amepata kura ambazo ni 8, 882, 935 sawa na 58.46% ya kura zote halali.

Matokeo ya wagombea wengine akiwemo, Anna Mghwira wa (ACT-Wazalendo) 98,763 sawa 0.65%, Chifu Lutalosa Yemba (ADC), 66, 049 sawa na 0.435 huku Edward Lowassa (Chadema) akimfuatia kwa kura Dk. Magufuli kwa kupata kura 6, 772, 848, sawa 39.97% na Hashim Rungwe wa (CHAUMMA) aliyepata kura 49, 256, sawa na 0.32%.

Wagombea akiwemo Janken Kasambala (NRA) 8, 028 sawa 0.03% na Maximilian Lyimo (TLP) 8, 198 sawa na 0.05% Fahmy Dovutwa (UPDP), 7, 785 sawa 0.05%.

Hata hivyo, Vyama 6 vimesaini matokeo ya urais ambapo wagombea wawili wa vyama vya CHADEMA na CHAUMMA, hawajasini karatasi ya matokeo ya nafasi hiyo ya urais.

Mkurugenzi wa Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhani amesema majimbo 6 hayajafanya uchaguzi na sababu mbalimbali ikiwemo vifo, wakati majimbo 5 hayajafanya uchaguzi kutokana na mapungufu mbalimbali.
 

Attachments:

wadadawanne

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
119
Points
195

wadadawanne

Senior Member
Joined Oct 26, 2014
119 195
Huko mnakoelekea sasa SIKO, kweli tangu jana.ni majimbo MATATU tuuu, noooo ma wasi wasii, kwa nn maitre matokeo kwa muda mnapindishapindisha ulionao hivi ni dalili mbaya na mnawapa hasira wananchi, amani ya Tanzania Iko mikononi mwenu msituharibie amani tumefanya uchaguzi wetu kwa amani na.tunaomba matokeo kwa amani kama tulivyozipiga msitupindishie habari.watanzania TUNATAKA amani yetu bado tunaihitaji saaana, tunaomba msiwe chanzo cha vurugu ya Tanzania, pepo ibilisi lililoingia NDANI ya nec tumalikemea kwan linataka KUTULETEA shidaaa watanzania
 

Forum statistics

Threads 1,382,503
Members 526,392
Posts 33,830,134
Top