MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Nahisi ITV wamepigwa BITI maana wamekatisha live updates kuhofia kutangaza ukweli na later magamba wakichakachua patachimbika....

Huu ni ujinga wa vyombo vyetu vya habari...

TBC siku ile ya uchaguzi wa MAREKANI walikesha lakini leo wanfanya upu..u..Zi tu hatuwaelewi hawa jamaa.
TBC wamepoteza mwelekeo. hivi kweli wakati wa kampeni wanatangaza ccm na sau halafu wanaiacha chadema. uwiano hapo sijui ulikuwa wapi! Bora itv walikuwa wakibalance
 
Excellent reporting skills. I love its content as well.

We can see Newton's law of motions works perfect now with Tanzanian Politics
 
Tutegemee mabadiriko makubwa ya kisiasa Tanzania yanakuja tuendelee kuiunga mkono CHADEMA ndicho chama pekee kinachoweza kumkomboa mwananchi ambaye ni mlala hoi!!
 
Hivi jamani jimbo la Arumeru East lina ukubwa gani mpaka ichukue muda mrefu kiasi hiki kupata matokeo. Si mtupe matokeo ya kata 17 badala ya vituo

tuondolee uchawi hapa, matokeo ni kituo kwa kituo, kura hazikupigiwa katani.
 
Tunashukuru lakini kama wakilegea ccm inachukua.Hapa Lizaboni vijana hawakulala na siku nzima matembezi Mh Chiku Abwao alituambia tufanyie kata hii ya Lizaboni ili kulinda kura.Hakika ccm usipolinda mlangoni wamekumaliza.CDM tulisema hatutoki hadi yatangazwe.
 
star tv''''maellfu ya wana arumeru wamepiga kambi usa river.
Star tv,,,mabomu ya machozi yanapigwa kwa wingi
Star tv,,,magari ya maji ya kuwasha yameingia usa river
 
kwa mujibu wa mlimani tv wanamatokeo ya vituo zaidi ya 150 na inaonyesha chadema wanaongoza lakini mtangazaji aliopo studio anasema jukumu la kutangaza si lao bali ni la tume.
 
Tutawanig'iniza kama popo, jipeni moyo CDM mutakimbia si muda mrefu hapa JF.
Taarifa nilizonazo mpaka muda huu mgombea wa CDM (Nasari) anaelekea kukubali kushindwa wakati Slaa na wenzake wameanza kuufyata na kuelekea Dar.
 
Tutawanig'iniza kama popo, jipeni moyo CDM mutakimbia si muda mrefu hapa JF.
Taarifa nilizonazo mpaka muda huu mgombea wa CDM (Nasari) anaelekea kukubali kushindwa wakati Slaa na wenzake wameanza kuufyata na kuelekea Dar.


Naona haujala , jampa basi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom