MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
akeri kwandua cdm 192 ccm 60
b: cdm 166 ccm 59

nguruma cdm 94 ccm 88
ushirika cdm 70 ccm 115
shuleni cdm 46 ccm 250
b:cdm 33 ccm 268

kimundo???????
Cdm 63 ccm 181
b: cdm 61 ccm 150

kimundo 3?????????

Cdm 72 ccm 103

haoa ccm wamewaburuuuuuza mbayaaaaaaaaaaaaa
 
Huko Vijijini sasa

Ofisi ya Kijiji

CCM 94 CDM 88

Ushirika Akheri

CCM 115 CDM 70
CCM 250 CDM 46
CCM 268 CDM 33

Nkuoranga
CCM 181 CDM 93
CCM 150 CDM 61

Vingine

CCM 192 CDM 90
CCM 166 CDM 56
 
CCM inashinda mtaniambia hapa . sasa ngoja tuwapostie ya vijijini.
 
Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, zilizoharibika 0.

Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93,

Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

Enguseni a CHADEMA 114 CCM 62

Leganga CHADEMA 142 CCM 26

Magadirisho1 - CHADEMA 116 CCM 37

Magadirisho2 - CHADEMA 111 ccm 37

s/m leganga - CHADEMA 142 CCM 26

Majiachai A,B,C,D,E CHADEMA 573, CCM 276

Kituo kingine Makiba, CHADEMA 23, CCM 95,

Ofisi ya Kata Makiba CCM 107, CHADEMA 127,

Shule ya Msingi Miembeni namba 01, CCM 103, CHADEMA 96

Kikatiti CHADEMA 104 CCM 62

Tengeru chuoni CHADEMA 114, CCM 24

Tengeru hospt CHADEMA 220, CCM 40

Kikuleto ofisini CHADEMA 104, CCM 84

Makumira A = CHADEMA 118, CCM 42

Makumira B - CHADEMA 100, CCM 42

Makumira C - CHADEMA 92, CCM 50
 
mpaka hapa ccm atashinda...!!

tunarudi kule kule igunga...vijijin ccm wnapiga gepu la maana
 
Kweli CCM imeanza kupumua namuona Masako ambaye ni kada wa CCM sasa ndio ameanza kuongea kwa kujidai na ile style yake ya Kimasako Masako
 
huwezi amini hawa jamaa tumewakamata na mabox fake yenye kura zaidi ya 2000
tuangalie sana.. wanaweza chakachua haya masuala
 
Katika kata ya Olinde

Kituo A CCM 1480 chadema 45

B CCM 345 chadema 243

c ccm 578 chadema 123


mmmmh hapa nakosa furaha, kwa campaign zile za lusinde kura nyingi hivi zinatoka wapi?
 
ushirika akeli chadema70 ccm115, shuleni1 chadema 46 ccm250, shuleni2 chadema 33 ccm268, kirundo chadema68 ccm181, chadema61 ccm150, chadema 72 ccm183.
 
akeri kwandua cdm 192 ccm 60
b: cdm 166 ccm 59

nguruma cdm 94 ccm 88
ushirika cdm 70 ccm 115
shuleni cdm 46 ccm 250
b:cdm 33 ccm 268

kimundo???????
Cdm 63 ccm 181
b: cdm 61 ccm 150

kimundo 3?????????

Cdm 72 ccm 103

haoa ccm wamewaburuuuuuza mbayaaaaaaaaaaaaa

Haya ya ukweli
 
Yani acha ndio maana nimewaomba wasiunganishe huu uzi na zilizopita watatuchanganya sie tunaganda hapa hapa!!


nguvu na maamuzi ya uma yanajionyesha wazi,ole wao watawala wasiosoma alama za nyakati.tumeona mifano mingi duniani.ni wakati wa kusikiliza wapiga kura wanataka nini.
 
Kata ya Akeri CCM imeogoza kwa kura nyingi sanaaaa

lol.............. umenikumbusha mgonjwa mmoja alikua anakata roho huku akitamba kwamba akitoka hospitali watamkoma mademu wote
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom