Tutawanig'iniza kama popo, jipeni moyo CDM mutakimbia si muda mrefu hapa JF.
Taarifa nilizonazo mpaka muda huu mgombea wa CDM (Nasari) anaelekea kukubali kushindwa wakati Slaa na wenzake wameanza kuufyata na kuelekea Dar.
Wamejitokeza watu wachache katika uchaguzi wa Arumeru wengi wao wakiwa ni wanawake na wazee (Source: ITV)
My take
Kwa namna ya ninavyofuatilia matokeo mwelekeo unaonyesha kuwa CDM kapata kura nyingiu hadi sasa zaidi ya CCM. Hii inanipa picha kuwa hata watu wazima na wanawake ambao kwa miongo kadhaa sasa wamekuwa wakisemekana kuichagua zaidi CCM sasa wamechoka na kuipigia kura Chadema.
weka mwenyewe,...... unangoja nani akuwekee positive ya ccm....
Tutawanig'iniza kama popo, jipeni moyo CDM mutakimbia si muda mrefu hapa JF.
Taarifa nilizonazo mpaka muda huu mgombea wa CDM (Nasari) anaelekea kukubali kushindwa wakati Slaa na wenzake wameanza kuufyata na kuelekea Dar.
I see.......Confirmed CHADEMA imeshinda : star tv , lakini hawajatangaza