MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Nahisi ITV wamepigwa BITI maana wamekatisha live updates kuhofia kutangaza ukweli na later magamba wakichakachua patachimbika....

Huu ni ujinga wa vyombo vyetu vya habari...

TBC siku ile ya uchaguzi wa MAREKANI walikesha lakini leo wanfanya upu..u..Zi tu hatuwaelewi hawa jamaa.
Acheni upotoshaji bana.....

ITV wamesitisha matangazo ya moja kwa moja kupisha taarifa ya Habari na yataendelea baada ya taarifa ya Habari
 
watu 127,455 walioandikishwa katika daftari la kudumu la wapigakura, wanatarajiwa kupiga kura katika vituo 327 ambavyo vimepangwa kwa ajili ya uchaguzi huo

tusubiri tuone hivyo ni vituo ambavyo vinafikika kwa urahisi bado vile vituo ambavyo ccm huwa inachukulia point
 
jamani sisi uku hatupati hata repe la usingizi, hatulali mpaka kieleweke wana arumeru msituangushe
 
Nahisi ITV wamepigwa BITI maana wamekatisha live updates kuhofia kutangaza ukweli na later magamba wakichakachua patachimbika....

Huu ni ujinga wa vyombo vyetu vya habari...

TBC siku ile ya uchaguzi wa MAREKANI walikesha lakini leo wanfanya upu..u..Zi tu hatuwaelewi hawa jamaa.

TBC kweli nao hamnazo,wakati ITV hawajakatiza ghafla kutuma matangazo,wao walikua wanarusha ze komedi replays maana nao sasa hawana jipya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom