MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
mimi nachokiona ni kwamba chedema zimeongezeka kura 2000, ccm kura 1000. pointi yako nini labda?
Labda ameangalia kwa haraka na ku confuse matokeo ya CDM na hiyo diff ambayo kwenye lile jedwali la Tumaini Makene haikuwepo!
 
Can we consolidate table again, am busy working on it, na je matokeo hakuna tena mpya naona ni Yale Yale tu, pigeni updates wajameni wengine tv hakuna!
 
Nahisi ITV wamepigwa BITI maana wamekatisha live updates kuhofia kutangaza ukweli na later magamba wakichakachua patachimbika....

Huu ni ujinga wa vyombo vyetu vya habari...

TBC siku ile ya uchaguzi wa MAREKANI walikesha lakini leo wanfanya upu..u..Zi tu hatuwaelewi hawa jamaa.
TBC wamepoteza mwelekeo. hivi kweli wakati wa kampeni wanatangaza ccm na sau halafu wanaiacha chadema. uwiano hapo sijui ulikuwa wapi! Bora itv walikuwa wakibalance
 
HONGERENI KAMA MATOKEO NI HAYO HIYO NI ZAWADI KWA MKAPA NA AKIJA TENA KWENYE chaguzi ndogo Mtumieni VISENTI NYERERE
 
Nadhani siyoi kuchelewa kuja ukukmbi wa halmashauri , hari ni mbaya
 
Wabe,

Sio kirahisi hivyo mkuu.CCM Watashinda kwa kimbunga.I am saying the truth which will then be proved

Haya ndio maneno watu wengi hapa hatutaki kuyasikia lakini ndio ukweli
 
Hivi jamani jimbo la Arumeru East lina ukubwa gani mpaka ichukue muda mrefu kiasi hiki kupata matokeo. Si mtupe matokeo ya kata 17 badala ya vituo
 
Hey Mods vipi, toka hii wallpage i-collapse, hatuoni updates. Vipi mmesepa nini?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom