Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Sujui kama alikuwa anamaanisha chaguzi zote in general or Arumeru in particular?
Alimaanisha Lizaboni, Mwanza na Kiwila huku akisubiri kuunganisha ya Arumeru
Sujui kama alikuwa anamaanisha chaguzi zote in general or Arumeru in particular?
Mkuu uchaguzi siyo mchezo wa mpira, nina imani kuwa Chadema iliisha shinda kwenye sanduku la kura, ila sina imani kama itapewa official certificate kuwa imeshinda. Tume ya uchaguzi ikichezea matokeo haya basi itakuwa imejichimbia kaburi, na hata kura za maoni za Katiba mpya haitakuwa na legitimacy ya kuzisimamia.
Tutawanig'iniza kama popo, jipeni moyo CDM mutakimbia si muda mrefu hapa JF.
Taarifa nilizonazo mpaka muda huu mgombea wa CDM (Nasari) anaelekea kukubali kushindwa wakati Slaa na wenzake wameanza kuufyata na kuelekea Dar.
chadema waanza kusherehekea ushindi'barabara ya arusha moshi yafungwa'
TBC NDO WANARUSHA MADUDU GANI TENA:shut-mouth:
Tutawanig'iniza kama popo, jipeni moyo CDM mutakimbia si muda mrefu hapa JF.
Taarifa nilizonazo mpaka muda huu mgombea wa CDM (Nasari) anaelekea kukubali kushindwa wakati Slaa na wenzake wameanza kuufyata na kuelekea Dar.
Zimepunguaje hizo kura.
Ameshaupdate, anasema wanasubiri ushindi kesho asbh
twende kazi! safari hii magamba watalala na viatu.
kibwela chacha nyavu zinakatika cdm imeshinda.[/QUOTE
people poweeeeer.watu wataikaa ccm kabla ya 2015